Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

Kha! Katika wajinga duniani wee ni nambari one
 
Inasikitisha sana.
 
Nilishaacha ilikua kipindi icho alikaa miaka 2 tendo la kusua sua
 
Pole sana dada.
Ndoa ni Upendo,huruma na heshima.
Kimoja kikipungua basi hakuna ndoa.
Hali hii itakutesa kwa muda mrefu na inaweza kuathir afya yako.
Nakushauri umalize kwani yeye alianza !
 
She is not a decent woman

Ukiwa wewe ni muhuni lazima utaoa /kuolewa na muhuni nature haiwezi kukosea kukuletea the wrong choice
Hapana, kujichua ni usaliti wa aina yake pia. Anamfikiria nani anapojifanyia uchafu huo? Na mume yupo hapo pembeni anakoroma?
mna mitazamo yenu kuhusu punyeto lakini kubalini kwamba ni bora hivyo kuliko angetoka nje na yeye.

halafu punyeto ni kauhuni kadogo tu kareja reja.
 
Angekua mwanaume ungempa huu ushauri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…