Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Muachane tu hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kupitiwa gani mpaka anachonga kihenge?Alidai alipitiwa tu....tuna mtoto 1
Kama Una 38 yrs na tayari umezaa na mmewekeza na huyo mwanaumeHapana walikua hawafahamian kabisa kamfaham baada ya kuja kunitembelea ..kaolewa anawatoto 2
mashem shem wamamalizanaga eee, ina maana mambo yamebadilika hamna hofu tena kama huyu ni mke wa rafiki yangu au mume wa rafiki yangu? sasa dada ameolewa na ana watoto wawili naye mwamba kaoa na mtoto mmoja hapo unatafuta nini? mwanamke angekuwa hajaolewa labda hapo unaweza pata sababuHuyo mumeo ni mshenzi wa tabia na ni mdhaifu mno hata hivyo una moyo sana kuendelea kuwa nae.
Kingine rafiki na mahusiano yako ni vitu ambavyo havipaswi kuchangamana, binafsi huwa sitak mazoea kabisa na mashem shem maana najua balaa lake.
Relax baby, tafuta sehemu nzuri katulie kidogo hata Zanzibar akili itakaa sawa tu.Ni Mume wangu wa ndoa, Mwaka jana niligundua anatembea na rafiki yangu, rafiki ambae tumekua wote shule tumesoma wote mpaka chuo bahat mbaya tukaolewa mikoa tofauti
Lkn haikutupa shida kwan tulikua tunatembeleana mara kwa mara alikua kama ndugu maana mpaka wazazi wetu walikua na ukaribu kupitia sisi....
Kumbe ile kunitembelea akaanzisha mahusiano na mr wangu bila mm kujua aisee niliteseka sana sababu alijua kumteka akili Mr mpaka akawa anafata chochote anachosema yeye ndio tunafata..
Ikafika kipindi akawa ataki kushare dudu yan hataki mr asex namimi ..mr nae akamfata ikiwa naitaji ndani nambembeleza mpaka machozi hataki ....
Kipindi cha siku za hatari nakua na hamu sana unamuomba alivyomshenzi wakati namuomba nalalamikaa ananirecord kwa siri voice badae anamtumia rafiki yangu kumhakikishia kua hanipi haki yangu.....
Unamyimwa mpaka unaangalia porn mbele yake huku umajichua ukimaliza ndio unalala na anasikia hajali anasinzia...
Nilikuja kujua password yake badae ndio kugundua hayo nilichanganyikiwa ikabidi nishirikishe familia zote na mume wa best nikamwambia yakawa yameisha...
Kilichopo sasa baada ya yote kuisha sina hisia nae kabisa kila nikifikiria aliponipitisha nalia tu japo ni mwaka sasa umepita....akiwa anaitaji tendo nampa lkn kuna muda katikati ya tendo machozi yanatoka
Analalamika nimtu gani nisiesamehe ninaroho mbaya ...
Sijui nifanyaje sababu naiona chuki tu moyoni sioni mapenzi...
Nafanya tu lkn sipendi hata anisogelee lkn najikaza tu..
Binafsi hapana sio kwamba ni mhuni NO ila nayaepuka yanayoepukika kulinda ukaribu na undugu wetu. Mimi namba za mashemeji sinaga na sizitak nw hata rafiki au ndugu akinitafuta kwa namba ya shemeji hata akiniambia sisevu acha ibaki ikihang.mashem shem wamamalizanaga eee, ina maana mambo yamebadilika hamna hofu tena kama huyu ni mke wa rafiki yangu au mume wa rafiki yangu? sasa dada ameolewa na ana watoto wawili naye mwamba kaoa na mtoto mmoja hapo unatafuta nini? mwanamke angekuwa hajaolewa labda hapo unaweza pata sababu
Inawezekana kwenye kumuuguza mkewe yuko 100%Mh ila kwa alichomfanyia kuwa mm huyu dada yangu ningeenda kumchukua arudi nyumbani
Dah! hivi ukila mdogo wa mke wako au dada yake, na wao wanakuja kumsalimia ndugu yao kumbe wanafuata mhogo kah hii inatia ukakasi sanaBinafsi hapana sio kwamba ni mhuni NO ila nayaepuka yanayoepukika kulinda ukaribu na undugu wetu. Mimi namba za mashemeji sinaga na sizitak nw hata rafiki au ndugu akinitafuta kwa namba ya shemeji hata akiniambia sisevu acha ibaki ikihang.
Mashem wengine wana tabia zao za hovyo hovyo, shem anakupiga kizinga hovyo hovyo mwsho wa siku ni nini?
Anazo ila anafikiria kwingineSiku hizi huna nyege ?
Mekumis sana 😎Upo? 😹
Niko pouwa za kwako Mbaga
Njoo PM Mimi dawa ninayo itakuponya ndani ya muda mfupi sana ila siwezi kuiweka hapa wahi PM zimebakia chache sanaAnalalamika nimtu gani nisiesamehe ninaroho mbaya ...
Sijui nifanyaje sababu naiona chuki tu moyoni sioni mapenzi...
Nafanya tu lkn sipendi hata anisogelee lkn najikaza tu..
Ni Mume wangu wa ndoa, Mwaka jana niligundua anatembea na rafiki yangu, rafiki ambae tumekua wote shule tumesoma wote mpaka chuo bahat mbaya tukaolewa mikoa tofauti