Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

Njoo kwangu mama nawe ulipize🙏🙏🙏🌹
Ni Mume wangu wa ndoa, Mwaka jana niligundua anatembea na rafiki yangu, rafiki ambae tumekua wote shule tumesoma wote mpaka chuo bahat mbaya tukaolewa mikoa tofauti
Lkn haikutupa shida kwan tulikua tunatembeleana mara kwa mara alikua kama ndugu maana mpaka wazazi wetu walikua na ukaribu kupitia sisi....

Kumbe ile kunitembelea akaanzisha mahusiano na mr wangu bila mm kujua aisee niliteseka sana sababu alijua kumteka akili Mr mpaka akawa anafata chochote anachosema yeye ndio tunafata..
Ikafika kipindi akawa ataki kushare dudu yan hataki mr asex namimi ..mr nae akamfata ikiwa naitaji ndani nambembeleza mpaka machozi hataki ....
Kipindi cha siku za hatari nakua na hamu sana unamuomba alivyomshenzi wakati namuomba nalalamikaa ananirecord kwa siri voice badae anamtumia rafiki yangu kumhakikishia kua hanipi haki yangu.....
Unamyimwa mpaka unaangalia porn mbele yake huku umajichua ukimaliza ndio unalala na anasikia hajali anasinzia...

Nilikuja kujua password yake badae ndio kugundua hayo nilichanganyikiwa ikabidi nishirikishe familia zote na mume wa best nikamwambia yakawa yameisha...
Kilichopo sasa baada ya yote kuisha sina hisia nae kabisa kila nikifikiria aliponipitisha nalia tu japo ni mwaka sasa umepita....akiwa anaitaji tendo nampa lkn kuna muda katikati ya tendo machozi yanatoka

Analalamika nimtu gani nisiesamehe ninaroho mbaya ...
Sijui nifanyaje sababu naiona chuki tu moyoni sioni mapenzi...
Nafanya tu lkn sipendi hata anisogelee lkn najikaza tu..
 
Back
Top Bottom