Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Ni Mume wangu wa ndoa, Mwaka jana niligundua anatembea na rafiki yangu, rafiki ambae tumekua wote shule tumesoma wote mpaka chuo bahat mbaya tukaolewa mikoa tofauti
Lkn haikutupa shida kwan tulikua tunatembeleana mara kwa mara alikua kama ndugu maana mpaka wazazi wetu walikua na ukaribu kupitia sisi....

Kumbe ile kunitembelea akaanzisha mahusiano na mr wangu bila mm kujua aisee niliteseka sana sababu alijua kumteka akili Mr mpaka akawa anafata chochote anachosema yeye ndio tunafata..
Ikafika kipindi akawa ataki kushare dudu yan hataki mr asex namimi ..mr nae akamfata ikiwa naitaji ndani nambembeleza mpaka machozi hataki ....
Kipindi cha siku za hatari nakua na hamu sana unamuomba alivyomshenzi wakati namuomba nalalamikaa ananirecord kwa siri voice badae anamtumia rafiki yangu kumhakikishia kua hanipi haki yangu.....
Unamyimwa mpaka unaangalia porn mbele yake huku umajichua ukimaliza ndio unalala na anasikia hajali anasinzia...

Nilikuja kujua password yake badae ndio kugundua hayo nilichanganyikiwa ikabidi nishirikishe familia zote na mume wa best nikamwambia yakawa yameisha...
Kilichopo sasa baada ya yote kuisha sina hisia nae kabisa kila nikifikiria aliponipitisha nalia tu japo ni mwaka sasa umepita....akiwa anaitaji tendo nampa lkn kuna muda katikati ya tendo machozi yanatoka

Analalamika nimtu gani nisiesamehe ninaroho mbaya ...
Sijui nifanyaje sababu naiona chuki tu moyoni sioni mapenzi...
Nafanya tu lkn sipendi hata anisogelee lkn najikaza tu..
 
Pole sana kwa yote uliyopitia. Inaonekana umepitia kipindi kigumu sana na ni kawaida kabisa kuhisi maumivu na chuki baada ya kupitia hali kama hiyo. Hapa kuna mambo machache ambayo unaweza kuzingatia:

Kujipa Muda: Ni muhimu kujipa muda wa kuponya majeraha yako ya kihisia. Hii inaweza kuchukua muda mrefu na ni sawa kabisa.
Kuzungumza na Mtaalamu: Kuzungumza na mshauri wa ndoa au mtaalamu wa saikolojia kunaweza kusaidia sana. Wanaweza kukusaidia kuelewa hisia zako na kukupa mbinu za kukabiliana nazo.
Kujieleza: Usijizuie kuzungumza na mume wako kuhusu jinsi unavyohisi. Ni muhimu yeye kuelewa maumivu yako na jinsi hali ilivyokuathiri.
Kujitunza: Hakikisha unajitunza mwenyewe kwa kufanya mambo unayopenda na yanayokufurahisha. Hii inaweza kusaidia kupunguza msongo wa mawazo.
Kusamehe: Kusamehe ni mchakato mgumu na unahitaji muda. Hata hivyo, kusamehe hakumaanishi kusahau au kurudi kwenye hali ile ile. Ni kuhusu kuachilia mzigo wa chuki ili uweze kuendelea na maisha yako kwa amani.
Kufikiria Upya Mahusiano: Kama bado unaona ni vigumu kuendelea na mahusiano, inaweza kuwa muhimu kufikiria upya kama ndoa hiyo inakupa furaha na amani unayostahili.
Kumbuka, hisia zako ni halali na ni muhimu kuziheshimu. Usijilaumu kwa jinsi unavyohisi. Kama unahitaji msaada zaidi, usisite kutafuta msaada wa kitaalamu.
 
Ni Mume wangu wa ndoa, Mwaka jana niligundua anatembea na rafiki yangu, rafiki ambae tumekua wote shule tumesoma wote mpaka chuo bahat mbaya tukaolewa mikoa tofauti
Lkn haikutupa shida kwan tulikua tunatembeleana mara kwa mara alikua kama ndugu maana mpaka wazazi wetu walikua na ukaribu kupitia sisi....

Kumbe ile kunitembelea akaanzisha mahusiano na mr wangu bila mm kujua aisee niliteseka sana sababu alijua kumteka akili Mr mpaka akawa anafata chochote anachosema yeye ndio tunafata..
Ikafika kipindi akawa ataki kushare dudu yan hataki mr asex namimi ..mr nae akamfata ikiwa naitaji ndani nambembeleza mpaka machozi hataki ....
Kipindi cha siku za hatari nakua na hamu sana unamuomba alivyomshenzi wakati namuomba nalalamikaa ananirecord kwa siri voice badae anamtumia rafiki yangu kumhakikishia kua hanipi haki yangu.....
Unamyimwa mpaka unaangalia porn mbele yake huku umajichua ukimaliza ndio unalala na anasikia hajali anasinzia...

Nilikuja kujua password yake badae ndio kugundua hayo nilichanganyikiwa ikabidi nishirikishe familia zote na mume wa best nikamwambia yakawa yameisha...
Kilichopo sasa baada ya yote kuisha sina hisia nae kabisa kila nikifikiria aliponipitisha nalia tu japo ni mwaka sasa umepita....akiwa anaitaji tendo nampa lkn kuna muda katikati ya tendo machozi yanatoka

Analalamika nimtu gani nisiesamehe ninaroho mbaya ...
Sijui nifanyaje sababu naiona chuki tu moyoni sioni mapenzi...
Nafanya tu lkn sipendi hata anisogelee lkn najikaza tu..
Alikukuta na BIKRA?
 
Kama hamjapata watoto bora mvunje ndoa,kwann uteseke na maisha ni mafupo hivi

Tunaishi maramoja tu
 
Acha kwanza kutazama Video za ngono na kujichua .

Maisha ya kihuni huwa yanakuaga na madhara hasi Kama hayo.

Unavyosema unatazama video za ngono na kujichua mbele ya mme wako WTF.

Don't give a fucky

Anza kubadilika wewe kuwa msafi kimatendo , be God fearing person be humble , forgive everybody

Then Mme wako na yeye atabadilika.

Usi -entertain Maisha ya kihuni
Usifoke, alifanya hivyo kwasababu hakuwa na chaguo lingine.

Bora hivyo kuliko angechepuka.

Si unajua tena wanavyosema;

'Sheria mkononi, amani moyoni.'
 
Pole sana, sina cha kusema. Naomba niongee na ambao bado hawajaolewa....

Tafadhali sana ewe binti, mwanamme yoyote anaweza kutupa ndoano. Ila ni wewe mwenye uamuzi wa mwisho wa nani unayekubali awe mwenza wako wa maisha. Tabia yoyote unayoiona ni mbaya hata iwe ndogo kiasi gani, jua ndani ya ndoa utaikuta hiyo x1000. Unaweza usigundue usaliti kabla ya ndoa, lakini ukaona kila mara amezungukwa na wanawake, stori zake ni wanawake na mambo ya ajabu. Kwenye mitandao ya jamii anafuatilia wanawake wakaa uchi, maslay queen na site nyingine za maajabu.

Tegemea kulizwa. Kimbia, chaguo ni lako. Wanaume wazuri wenye hofu ya Mungu wapo. Usikimbilie bora ndoa, chagua kutengeneza ndoa njema kabla hata hujaingia
 
Back
Top Bottom