mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
shida ya bongo kuna kabumbu na sio soka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo kuwa msemaji ndio kunafanya tufanye vibaya? of course inaweza kuwa tafsiri tu akitoa maoni fulani anakua msemaji, unavutwa na maoni ya wanayanga yanakua maoni ya mwanasimbaMimi hakuna kitu nashangaa kama Hans Pope kuwa msemaji wa hii Timu na kwa nini wanampa uongozi wa hizo kamati kama Katiba hamruhusu kugombea uongozi wowote huu ni ubabaishaj.
Mkuu unachosema ni kweli, lakini kama hujapata kiongozi mwenye hayo maono hela zinakujaje? Zitakuja watu watakula. Tatizo lililopo sasa pamoja na kwamba mfumo nao ni mbaya ni viongozi kugawa wachezaji na kila mmoja kujifanya ana amri juu ya wachezaji eti kwa sababu tu ni kiongozi. Team ya mpira ina mkusanyiko wa watu ambao wanatakiwa kufikia lengo moja hivyo wanahitaji commanding chain haiwezekani kila mtu aseme na wachezaji tena wakati mwingine kwenye mambo ya ufundi. Hizi kamati sizipendi kabisa na wala hata kuzisikia huwa sipendi lakini kwa sababu zipo tayari ingekuwa ni busara kila mtu afanye mambo yake yanayomhusu.
kwa hiyo kuwa msemaji ndio kunafanya tufanye vibaya? of course inaweza kuwa tafsiri tu akitoa maoni fulani anakua msemaji, unavutwa na maoni ya wanayanga yanakua maoni ya mwanasimba
HE WHO PAY THE PAWPER PLAYS THE TUNETimu yetu inaharibiwa na Kaburu na Hanspope, inawezekana kweli wanatoa hela kwa ajili ya kusajili na pengine kusaidia kambi lakini ni kwa nini wajihusishe na uongozi wa timu?
Bado tuna tatizo la ufundi tu ambalo licha ya mtoa mada kukosa flow ameliainisha mnwanzoni mwa mada yake, wachezaji wengi tunasajili kwa makeke lakn hawatusaidii kabisa
eti mesi wa tanga, mara adbi banda anagombewa na yanga, serunkuma, etc................yaani madogo ndio wanabeba timu kwa kiasi fulani na ambao wanaonekan kuchka mapema tizama ndemla ameshaanza misuli, mkude naye hatihati
read my threads, timu inajitahidi sana, lkn roho i radhi ilihali mwili ni dhaifu, nitakua wa mwishoi kuwalaumu hawa viongozi, nimekuwa kwenye soka naelewa what it means, jana Hanspope alikua anatoa machozi paple VIP unajua ni kwa nini, ana invest a lot while deliverables ni almost nothing
read my threads, timu inajitahidi sana, lkn roho i radhi ilihali mwili ni dhaifu, nitakua wa mwishoi kuwalaumu hawa viongozi, nimekuwa kwenye soka naelewa what it means, jana Hanspope alikua anatoa machozi paple VIP unajua ni kwa nini, ana invest a lot while deliverables ni almost nothing
Wenzako tunauona mwenye macho haambiwi tizamachangieni mkimaliza mnijulishe nitoe yangu ya moyoni.
leo hii yanga wamemuondoa maximo mpira wa yanga siiuoni
read my threads, timu inajitahidi sana, lkn roho i radhi ilihali mwili ni dhaifu, nitakua wa mwishoi kuwalaumu hawa viongozi, nimekuwa kwenye soka naelewa what it means, jana Hanspope alikua anatoa machozi paple VIP unajua ni kwa nini, ana invest a lot while deliverables ni almost nothing
Mkuu Komeo Lachuma tatizo lililopo kati ya hayo makundi ni kuwa, hakuna kundi linalotaka kujishusha na kumfata mwenzake ili wayamalize. Kila kundi linajiona liko sahihi.
Nadhani ni mda muafaka wa hawa jamaa kupatana ili tuwe Simba 1, hii labda itasaidia kuboresha kidogo matokeo yetu ya uwanjani.. maana hizi kauli kuwa Ukawa wanahujumu timu si za kudharau.
Mi hapo sielewi kwa sababu mpira unachezwa uwanjani
Hao waliotengwa wana impact gani uwanjani
Tuwe wakweli...Tusiamini ushirikina
Kwa sababu ingeuwa ushirikina unacheza mpira basi tungeshachukua kombe la dunia
Hawa Ukawa ni kama panya anayejarbu kumfunga paka kengele, ila nyuma yao naamini wana kundi kubwa linalowasapoti.
Nadhani ni vyema sasa hizi tofauti zikamalizwa, hii inaweza ikasaidia japo si saana kuboresha matokeo ya uwanjani.
Ushirikina upo ingawa hatutakiwi kujielekeza sana lakini pia hatutakiwi kuupuuza huu mgogoro wa hawa jamaa wa ukawa, inawezekana isiwe uchawi lakini kwa sababu nao ni tawi lenye nguvu huenda labda wakala njama na baadhi ya wachezaji au na baadhi ya watu ndani ya uongozi. Sitaki kuamini kama viongozi wote wale walikuwa upande wa Aveva toka mwanzo na hadi sasa, siamini kama Wambura hakuwa na watu ambao walifanikiwa kushika baadhi ya nyadhifa. Najua Kaburu sio FoS na mara nyingi huwa wanakwaruzana na watu wa FoS lakini pia sina hakika kama yuko upande wa Wambura. Najaribu tu kugusa hapa na pale ili kama kuna anayejua adadafue.Mi hapo sielewi kwa sababu mpira unachezwa uwanjani
Hao waliotengwa wana impact gani uwanjani
Tuwe wakweli...Tusiamini ushirikina
Kwa sababu ingeuwa ushirikina unacheza mpira basi tungeshachukua kombe la dunia