Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

Chadema kinachowafanya wapige kelele ni njaa ..njaa mbaya sana ..now wamejazwa not kimyaaa

Tanzania hakuna upinzani bali wote wale wale .
 
Chadema kinachowafanya wapige kelele ni njaa ..njaa mbaya sana ..now wamejazwa not kimyaaa

Tanzania hakuna upinzani bali wote wale wale .
We kabudi ulitumwa Madagascar professor mzima ukanyweshwa maji ya chooni eti ni dawa ya Corona na jimbo lako ndo kwaheri
 
Unaweza ukawa sawa na assumptions zako lakini mtazamo wangu ni kwamba, CHADEMA ilitumia nguvu kuubwa kuleta mabadiliko wakiamini watanzania washaerevuka kumbe ni kinyume, wakajikuta mkononi mwa mtesija bila kutetewa na wateswaji... kwa vifungo jela, majeraha na vifo walivyovipitia hamna budi kutafuta uwanja wa amani na kujipanga upya.
Heko chadema
Heko.kwa mwenyekiti FAM
 


Damu kumwagika unaongea kirahisi kabisa

Unataka damu za watoto wa wenzako ndio zimwagike

Why ww usije front? Umekaa na kitekno chako unasema Tu damu imwagike
 
Wewe si ndio UK ulikuwa mpinga kristo?,imekuwaje?
 
Anzisha chama chako cha Siasa ili ufikirie huo mustalabli. Usitake kuangalia wengine wakihangaika wewe kazi Ni kuleta threads JF. Understand Missile of the Nation
 
wewe na mamako mliwahi kuandamana mbowe aliposema muandamane, halafu unasema kama hataki kuteseka akae pemben wew ni nan unamwambia akae pemben, pemben hakai na huna cha kufanya mbali na kuandika ujinga ulionao humu jf.

Hizo senene za uvccm zinaelewa kwa lugha kali kali, endelea kuwakazia spana mkuu
 
Wakati Mbowe ana nyang'anywa Bilcanas na Mashamba yake kuharibiwa uliwahi jitokeza kupinga? Au unaongea tu uharo humu?
 
hayana tofauti na yale yaliyofanyika awamu ya 5 😃 huku tunaambiwa ni maridhiano kule ilikuwa ni kuunga mkono juhudi

upinzani Tanzania haujawahi kuwepo na hautokaa kuja kuwepo
Sawa upinzani utakuwepo pale wajinga ambao ndio wengi watajitambua.Yaani hii nchi unakuta mnyonywaji ana muamini zaidi mnyonyaji kuliko mtetezi wake!!!
 
Hujajibu swali, umerukia tu kuandika insha ndefu.
Narudia swali, CHADEMA na CCM wamekubaliana nini?
Yaliyo sirini, ambayo hawataki watu wayajue kwa sababu zao wazijuazo wenyewe. Hilo ndilo chimbuko la mijadala yote hii.
Kama wewe huoni sababu ya kuwa na shaka, wewe ni wewe, usitake wengine wote wawe kama wewe.
 
Usituchoshe na swaga zako za kumwandama mwenyekiti bora kabisa. Kama umemchoka au umewachoka Chadema ishilia mbali. Kila siku kumshambulia Mbowe tu basi. Wewe umesacrifice nini kwa chama badala ya tararira zako za kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…