Chozizwa2020
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 912
- 853
Mkuu mthibitishie hoja yake: kwamba anajua kikengereza: sasa hiyo asilimia 75 ndio jibu.Asilimia saidi ya 75 ya watanzania hawajui kiingereza, na wewe ukiwemo.
Mkuu vyama vipo zaidi 10, haya kwa ufahamu wako chama gani kilicho andamana kwa maslahi mapana ya wananchi? Mkuu watu kama wewe nchi hii mpo wengi sana, na hii imefanywa makusudi.Chadema hawajawahi kuandamana kwa maslahi ya wananchi ndio hakupata sapoti kubwa ya watu Chadema inaandamana kwa mlengo wa maslahi ya chama chao ngoja nikuulize umekuona Chadema imeandamana kwasababu ya vitu kupanda bei? Missile of the Nation Hili swali kwanini Chadema hawapendagi kulijibu
Siasa nzuri ni zile zilizotofauti na za kuunga mkono juhudi.OK Sasa njia Gani Bora, tuingie VITANI tuwatoe CCM?
Mkuu mimi nilikuwa naamini akili yako ipo vizuri, na bado naamini hivyo, ila kwa hoja hii umenishutua kidogo, nini kimetokea.Akili zangu ziko vizuri, ila misimamo yangu haiendani na matamanio yako.
Hizo confrontational politics zimeshindwa kuisaidia ChademaNi hivi,
Mlicho kifanya ni kujusalimisha kwa ccm kwamba sasa hamuwawezi, na sasa wao wanaweza kuwageuka mda wowote msifanye kitu!
Mikutano ipo kikatiba, anapotokea mtu anazuia hupaswi kuiomba mezani unaidai kwa nguvu ikiwezekana damu kumwagika, huo ndio upinzani, jifunzeni hapo kwa wenzenu Kenya tu.
Yani sasa hivi chadema ni mang'ombe tu kwa ccm!
Kwani wewe umezuiwa kuongoza hayo mapambano ya kuleta mabadiliko? Anzisha chama chako upambane kuyaleta.Kuteseka ni sehemu ya struggle. Kama hutaki kuteseka kaa pembeni ili walio tayari hata kufa ili kuleta mabadilikio ya kweli washike usukani. Kuliko kusaliti stuggle na kuanza kujikombakomba kwa CCM bora ukae pembeni ulee wajukuu au ule bata kadri unavyoweza
Chama huwa siyo mali ya mtu binafsi ni taasisi ya umma. Na umma una haki na wajibu wa kuvinyoosha vyama vyote ili viwe na siasa za kuwatumikia wananchi na siyo kufanya udalali wa kisiasa. Kwa hiyo hoja yako ni irrelevantKwani wewe umezuiwa kuongoza hayo mapambano ya kuleta manadiliko? Anzisha chama chako upambane kuyaleta.
Tuambie tafsiri yako ya maridhiano ni nini ?Mkuu Tindo ahsante kwa hii komenti Jana nimesema Sana lkn nikatukanwa lkn ukweli usemwe ...Hayo yanayofanywa Wala sio maridhiano Bali Ni mgawo wa Asali TU... Nipo tayari kuuawa kwa msimamo huu,, Upinzani kukaa na serikali hayo sio maridhiano,,
Kuna watu Jana walinena kuwa aliyealikwa Ni Rais na sio mwenyekiti wa Sisiemu ,, Huo upumbavu ..
Kwani situnampongeza mbowe kama tunavyo wapongeza akina hayati mrema akina shibuda Kwa KAZI nzuri za kuleta maridhiano?Tuacheni kejeli instead tuwapongeze Samia na Mbowe kwa kuweka masilahi ya nchi yetu mbele kuliko kitu kingine chochote.
Hii nchi angeendelea kuwa hai yule HAYAWANI wa Chato ingekuwa nchi ya hovyo kuliko Yemen na Somalia
Muache aendee kuoza huko aliko
Maneno machache yenye maana kubwa na sahihi ya "demokrasia".Upinzani siyo uadui, ni mawazo mbadala. Achaneni na fika za yuke Dr wa kemia wa mchongo asiyejua kiingereza
Mimi shemeji yangu alikuwa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa fulani,alifiwa na mtoto wake,lakini sikuhudhuria kwa sababu ya ushenzi wake na wa chama chake.Ilifikia hatua hataki mwana ccm aende kumuanglia mwanachadema kama anaumwa
Siasa sio uadui ila kwa magufuli siasa ni uadui
KabisaMbowe kaamua kuweka maslahi ya taifa mbele. Tumuunge mkono
Ni mpumbavu wa kiwango cha "SGR" na hayawani pekee anaweza kufananisha vyama vya siasa akiingiza ukabila.CHADEMA = TLP.
Mbowe = Mrema.
Wachaga wanafanana wote.
Hakuna Mchaga ambaye hajui kuandika "huijui".Uijui Ccm!
Yaani hawa wajinga wanataka baba au mama akileta kuku, akahakikisha unakula vizuri na kulala vizuri, umpe pongezi "as if" sio jukumu lao!!???Kwani jukumu kubwa la chama cha upinzani ni kumsifia aliyoko madarakani?!!Na atakusifia vipi wakati hilo ndio jukumu lako kubwa?Hapo ndipo miafrika tunakosea serikali inajenga kisima watu wanaona ni kama hisani na sio haki yao!!!
Ukweli usemwe ,hizo style za viongozi wakuu kumsifia mtawala Ni kujikomba TU,, Hoja za kusema tuliwaambia muandamane mkasusa Ni dhahiri dalili ya kushindwa kwa viongozi wa Upinzani ,,kwhy na wao wameamua kufukuzia buyu ....Tuambie tafsiri yako ya maridhiano ni nini ?
Si muanzishe chama kama mnaona mbowe hafai?Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika.
Kabla CHadema hawajaanza kupetiwapetiwa, Kutomaswatomaswa na kulambishwa asali na CCM hii ya leo ya Kinana na Samia, walikuwa wakitokwa povu sana kuhusu ACT Wazalendo kuingia katika serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar. ACT walikuwa wakijitetea kuwa eti ni takwa la kikatiba kuingia humo huku CHADEMA wakiwaita ACT Wasaliti kwa hoja ya kuwa wamewasaliti Wazanzibar kwa kushiriki kula matunda ya uchaguzi haramu.
Leo tunaona CHADEMA nao wamekinga mkono kula ruzuku ambayo hapo mwanzo walisema ni haramu kwa kuwa imetokana na uchaguzi haramu. Kiufupi wamelamba matapishi yao!.
Ukiachilia mbali hilo, CHADEMA walikuwa wakijulikana sana kuwatukana akina hayati Lyatonga Mrema , John Cheyo na Shibuda kuwa eti ni makada wa CCM kutokana na kuwa na siasa za mrengo wa kukubaliana na CCM katika mambo mengi. Leo tunamuona Mwenyekiti Mbowe naye akigeuka kuwa Cheyo na Shibuda aliyechangamka zaidi.
Mbowe leo kaibeba rasmi mikoba ya John Cheyo na ameanza kutumia arguments zilezile za John Cheyo kuwa anataka siasa za "maridhiano", ambazo kimsingi siasa za hivyo ni za kutomasanatomasana, kubembelezanabembelezana ilimradi tu kila mtu aachiwe sphere yake ya influence ili aweze kula kwa urefu wa kamba yake.
Tujiulize, Hizi sifa ambazo Mbowe anazitoa kwa Samia zina tofauti gani kwa mfano na Sifa za Cheyo au Shibuda walizokuwa wakizimwaga kwa Magufuli?
Hii inaonyesha kuwa pengine ukiwa mpinzani na ukaanza kuzeeka, unaanza kuwa na tabia za OLD MAN CCM SYNDROME. Yaani unaanza kuwa na tabia zile za kiCCM CCM. Unaanza kujisogeza kwa CCM, unaanza kuongea kama wanaCCM, na unaanza kubehave kama wanaCCM
Huu ni muda muafaka kwa wanaCHADEMA kumtafakari Mwenyekiti Mbowe kuona kuwa , Je ni kweli siasa hizi za kulala kitanda kimoja na CCM anazoanza kuzifanya zinatokana na utafiti wa kina na upeo wa kisiasa au zinatokana na
1. Mosi, Je ana makubaliano ya siri na CCM ikiwa kama sababu ya kuachiwa kwake kutoka Jela na kwa hivyo anafuata script aliyotengenezewa AU
2. Je ana masilahi binafsi ikiwemo ya kibiashara au kurudishiwa mali zake alizoporwa na serikali ya CCM kipindi cha Mwendazake?
3. Au je ni uzee na uchovu(wa Kisiasa) kwa hiyo ndo ameamua kwenda na falsafa maarufu ya "Kama huwezi kuwashinda, basi ungana nao?".
Katika nchi yoyote ukiona UPINZANI unafanya ROMANCE na Chama Tawala, Jua kuwa hakuna upinzani hapo bali kuna genge la wapiga dili wa kisiasa
Sasa mbona Jiwe aliposema watu wafanye maombi kipindi kile cha corona mlimbeza na kuona anapingana na sayansi?Maombi ni muhimili mwingine katika maisha ya mwanadamu. Leo wewe ukiteuliwa (kwa elimu yako ya Siasa za TZ)DC utaapishwa na wewe utaomba (....... Ewe Mwenyezi Mungu nisaidie) hayo mayo ni maombi Mkuu