Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

Sina haja ya kumbeza maana natambua mchango wake kwa CDM, ila kwa sasa hastahili kuendelea kuwa mwenyekiti wa CDM. CDM naikubali niibeze ili ,nikufurahishe ww?
Sihitaji kufurahishwa na mtu

Mbowe bado anaushawishi ndani ya chama chenu na hakuna anayeweza kwenda kinyume naye akasalia ndani ya chama.
 
Nchi inaliwa mchana kweupeee
 
Mang'ombe kwa ccm au kwa vyombo vya dola? Hakuna mwanaccm anaweza kuwazuia wapinzani kufanya lolote, bali vyombo vya dola. Usiwape ccm sifa wasiyostahili.
 
Sihitaji kufurahishwa na mtu

Mbowe bado anaushawishi ndani ya chama chenu na hakuna anayeweza kwenda kinyume naye akasalia ndani ya chama.

Hapa ndio unaona umecheza mind games kishenzi,😂😂
 
Daah wabongo bana yani mnajifanya mmesahau kabisa miaka mitano ya tabu na mateso kwa Chadema leo hii tunaana kupata mwanga wa kujiimarisha mmeanza majungu hii nchi wanafiki ni wengi sana.
 
Ni bora wapige Dili tu kwa sababu Watanzania ukiwaambia tokeni mabarabarani tudai haki zetu hutomuona hata mtu mmoja barabarani !! Mange Kimambi analijua hilo !!
Tatizo mkiambiwa huko mitaani hali ni tofauti na humu mitandaoni huwa hamtaki kuelewa, humu mitandaoni watu wako teyari kuingia barabarani ila huko uraiani hali ni tofauti.
 
John Cheyo akisoma comment yako anacheeka, anasema mlinisema sana kujiweka karibu na CCM, mbona na nyie mnafanya kama mimi sasa?[emoji16][emoji16]
John cheyo ndio Nani bhana na atupishe.

Chama tangu kianze sijaona kikifanya mkutano wa hadhara.

Kipindi Cha magu alikuwa hakosi ikulu Frontline kunywa chai na magu.

Akwendreeee like.

Mama anaupiga mwingi.
 
Tatizo mkiambiwa huko mitaani hali ni tofauti na humu mitandaoni huwa hamtaki kuelewa, humu mitandaoni watu wako teyari kuingia barabarani ila huko uraiani hali ni tofauti.
Endeleeni kutumia uoga wa watanzania kujipa matumizi.
 
Daah wabongo bana yani mnajifanya mmesahau kabisa miaka mitano ya tabu na mateso kwa Chadema leo hii tunaana kupata mwanga wa kujiimarisha mmeanza majungu hii nchi wanafiki ni wengi sana.
Zitto nae anasema chama chake ACT ndio kimepoteza watu wengi kuliko chama chochote.
 
Anachozungumzia Missile of the nation ni siasa za ushindani, si za kuunga mkono juhudi za CCM...Nchi inahitaji siasa mbadala, CCM ishatufilisi vya kutosha! Kina Mbowe wameingia mtego wa panya mroho...!
 
Endeleeni kutumia uoga wa watanzania kujipa matumizi.
Watanzania sio waoga ila tu nyie mnakosea mnapofikiri haya ya huko mitandaoni ndio hali ipo hivyo mitaani, kama ingekuwa maandamano yanafanyika mitandaoni basi hakuna maandamano ambayo yangefeli nakumbuka hata maandamano aliyoyahitisha Lissu humu mitandaoni watu walionyesha kuwa wataandamana kivyovyote bila kuogopa mikwara ya polisi. Ila mitaani hali ilikuwa tofauti hakukuwa na watu wenye kupanga kuandamana na ndio maana siku ya tukio watu waliamka kuendelea na shughuli zao kama kawaida.
 
Kwani Erythrocyte anasemaje?
 
Mkuu naona umeshikilia msimamo wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hauyumbishwi kabisa

Nadhani hata kipindi Cha nani yule Nyalandu kutaka kupewa nafasi kugombea kwa tiketi ya CDM, ulishikilia msimamo wako kupinga
 
Huyo Kuna siku ataibuka shujaa pale mbowe atapopolewa chadema
 
Hawa jamaa wanabadilika kama kinyonga ila wanachechemea ila wanafikia Lengo lao
 
Ninachompongeza Mbowe ni uthubutu wake.
Njia sahihi ya kuvivunjilia mbali vyama vikongwe ni kujiingiza ndani ndani!
KANU ilisambaratishwa na RAO kwa mbinu hizo hizo!
Sema wenye akili za kushikiliwa hawawezi kulewa mambo haya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…