Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Tindo ahsante kwa hii komenti Jana nimesema Sana lkn nikatukanwa lkn ukweli usemwe ...Hayo yanayofanywa Wala sio maridhiano Bali Ni mgawo wa Asali TU... Nipo tayari kuuawa kwa msimamo huu,, Upinzani kukaa na serikali hayo sio maridhiano,,
Kuna watu Jana walinena kuwa aliyealikwa Ni Rais na sio mwenyekiti wa Sisiemu ,, Huo upumbavu ..
This time kwa ujinga huu atang'oka yeye na rafiki zake wanaotaka upumbafu huo, watu walishawahi kuomba tusishiriki uchaguzi mpaka tume huru iwepo lakini wao wakalazimisha na tukaangukia pua, leo hii hitaji la tume huru na katiba mpya limekomaa yeye Mbowe na rafikize wanaanzisha dudu linaloitwa maridhiano hili litaenda mpaka 2025 maana yake suala la katiba mpya na Tume huru yote yatakuwa pending na watafanya uchaguzi waki maheramahera usio huruSihitaji kufurahishwa na mtu
Mbowe bado anaushawishi ndani ya chama chenu na hakuna anayeweza kwenda kinyume naye akasalia ndani ya chama.
Watu wanaoteseka kwa sababu za maridhiano ya Samia na Mbowe hawana nia njema na nchi hii kwani wanajua wanaelekea kupoteza vyeo vyao hasa vya kuchaguliwa wao wangependa zile siasa za kihayawani za enzi za mwendazake zingeendelea ambapo kumtangaza mpinzani ameshinda ilikuwa jasho na damuWanywa damu mnaumia sn.
Tulipotoka panatisha sn,
Ahsante mama, ahsante FAM.
kumbe kujua kingereza ni qualification ya udaktari wa halali tuliosoma Rusia tunapata tabu , Nenda UD utaonyeshwa maksi za yule mwamba linganisha na zako kwa namna yoyote.Upinzani siyo uadui, ni mawazo mbadala. Achaneni na fika za yuke Dr wa kemia wa mchongo asiyejua kiingereza
Sina haja ya kwenda UD nimejua uwezo wake katika uongozi wake, iko wazi sana kama mimba, low IQkumbe kujua kingereza ni qualification ya udaktari wa halali tuliosoma Rusia tunapata tabu , Nenda UD utaonyeshwa maksi za yule mwamba linganisha na zako kwa namna yoyote.
Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika.
Kabla CHadema hawajaanza kupetiwapetiwa, Kutomaswatomaswa na kulambishwa asali na CCM hii ya leo ya Kinana na Samia, walikuwa wakitokwa povu sana kuhusu ACT Wazalendo kuingia katika serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar. ACT walikuwa wakijitetea kuwa eti ni takwa la kikatiba kuingia humo huku CHADEMA wakiwaita ACT Wasaliti kwa hoja ya kuwa wamewasaliti Wazanzibar kwa kushiriki kula matunda ya uchaguzi haramu.
Leo tunaona CHADEMA nao wamekinga mkono kula ruzuku ambayo hapo mwanzo walisema ni haramu kwa kuwa imetokana na uchaguzi haramu. Kiufupi wamelamba matapishi yao!.
Ukiachilia mbali hilo, CHADEMA walikuwa wakijulikana sana kuwatukana akina hayati Lyatonga Mrema , John Cheyo na Shibuda kuwa eti ni makada wa CCM kutokana na kuwa na siasa za mrengo wa kukubaliana na CCM katika mambo mengi. Leo tunamuona Mwenyekiti Mbowe naye akigeuka kuwa Cheyo na Shibuda aliyechangamka zaidi.
Mbowe leo kaibeba rasmi mikoba ya John Cheyo na ameanza kutumia arguments zilezile za John Cheyo kuwa anataka siasa za "maridhiano", ambazo kimsingi siasa za hivyo ni za kutomasanatomasana, kubembelezanabembelezana ilimradi tu kila mtu aachiwe sphere yake ya influence ili aweze kula kwa urefu wa kamba yake.
Tujiulize, Hizi sifa ambazo Mbowe anazitoa kwa Samia zina tofauti gani kwa mfano na Sifa za Cheyo au Shibuda walizokuwa wakizimwaga kwa Magufuli?
Hii inaonyesha kuwa pengine ukiwa mpinzani na ukaanza kuzeeka, unaanza kuwa na tabia za OLD MAN CCM SYNDROME. Yaani unaanza kuwa na tabia zile za kiCCM CCM. Unaanza kujisogeza kwa CCM, unaanza kuongea kama wanaCCM, na unaanza kubehave kama wanaCCM
Huu ni muda muafaka kwa wanaCHADEMA kumtafakari Mwenyekiti Mbowe kuona kuwa , Je ni kweli siasa hizi za kulala kitanda kimoja na CCM anazoanza kuzifanya zinatokana na utafiti wa kina na upeo wa kisiasa au zinatokana na
1. Mosi, Je ana makubaliano ya siri na CCM ikiwa kama sababu ya kuachiwa kwake kutoka Jela na kwa hivyo anafuata script aliyotengenezewa AU
2. Je ana masilahi binafsi ikiwemo ya kibiashara au kurudishiwa mali zake alizoporwa na serikali ya CCM kipindi cha Mwendazake?
3. Au je ni uzee na uchovu(wa Kisiasa) kwa hiyo ndo ameamua kwenda na falsafa maarufu ya "Kama huwezi kuwashinda, basi ungana nao?".
Katika nchi yoyote ukiona UPINZANI unafanya ROMANCE na Chama Tawala, Jua kuwa hakuna upinzani hapo bali kuna genge la wapiga dili wa kisiasa
Mkuu naona umeshikilia msimamo wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hauyumbishwi kabisa
Nadhani hata kipindi Cha nani yule Nyalandu kutaka kupewa nafasi kugombea kwa tiketi ya CDM, ulishikilia msimamo wako kupinga
Unajitoa ufahamu kabisa kuhusu maandano yaliyopelekea kifo cha akwilina siyo. Nyie ni wanafiki mnaojifanya mnapenda mageuzi lakini kiuhalisia mpo pamoja na ha ccm wasiotaka mageuzi.Watanzania sio waoga ila tu nyie mnakosea mnapofikiri haya ya huko mitandaoni ndio hali ipo hivyo mitaani, kama ingekuwa maandamano yanafanyika mitandaoni basi hakuna maandamano ambayo yangefeli nakumbuka hata maandamano aliyoyahitisha Lissu humu mitandaoni watu walionyesha kuwa wataandamana kivyovyote bila kuogopa mikwara ya polisi. Ila mitaani hali ilikuwa tofauti hakukuwa na watu wenye kupanga kuandamana na ndio maana siku ya tukio watu waliamka kuendelea na shughuli zao kama kawaida.
Andiko reeefu alafu limejaa upimbi mtupu...kama mbowe amegeuka kuwa Mzee cheyo , basi acha iwe hivyoKwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika.
Kabla CHadema hawajaanza kupetiwapetiwa, Kutomaswatomaswa na kulambishwa asali na CCM hii ya leo ya Kinana na Samia, walikuwa wakitokwa povu sana kuhusu ACT Wazalendo kuingia katika serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar. ACT walikuwa wakijitetea kuwa eti ni takwa la kikatiba kuingia humo huku CHADEMA wakiwaita ACT Wasaliti kwa hoja ya kuwa wamewasaliti Wazanzibar kwa kushiriki kula matunda ya uchaguzi haramu.
Leo tunaona CHADEMA nao wamekinga mkono kula ruzuku ambayo hapo mwanzo walisema ni haramu kwa kuwa imetokana na uchaguzi haramu. Kiufupi wamelamba matapishi yao!.
Ukiachilia mbali hilo, CHADEMA walikuwa wakijulikana sana kuwatukana akina hayati Lyatonga Mrema , John Cheyo na Shibuda kuwa eti ni makada wa CCM kutokana na kuwa na siasa za mrengo wa kukubaliana na CCM katika mambo mengi. Leo tunamuona Mwenyekiti Mbowe naye akigeuka kuwa Cheyo na Shibuda aliyechangamka zaidi.
Mbowe leo kaibeba rasmi mikoba ya John Cheyo na ameanza kutumia arguments zilezile za John Cheyo kuwa anataka siasa za "maridhiano", ambazo kimsingi siasa za hivyo ni za kutomasanatomasana, kubembelezanabembelezana ilimradi tu kila mtu aachiwe sphere yake ya influence ili aweze kula kwa urefu wa kamba yake.
Tujiulize, Hizi sifa ambazo Mbowe anazitoa kwa Samia zina tofauti gani kwa mfano na Sifa za Cheyo au Shibuda walizokuwa wakizimwaga kwa Magufuli?
Hii inaonyesha kuwa pengine ukiwa mpinzani na ukaanza kuzeeka, unaanza kuwa na tabia za OLD MAN CCM SYNDROME. Yaani unaanza kuwa na tabia zile za kiCCM CCM. Unaanza kujisogeza kwa CCM, unaanza kuongea kama wanaCCM, na unaanza kubehave kama wanaCCM
Huu ni muda muafaka kwa wanaCHADEMA kumtafakari Mwenyekiti Mbowe kuona kuwa , Je ni kweli siasa hizi za kulala kitanda kimoja na CCM anazoanza kuzifanya zinatokana na utafiti wa kina na upeo wa kisiasa au zinatokana na
1. Mosi, Je ana makubaliano ya siri na CCM ikiwa kama sababu ya kuachiwa kwake kutoka Jela na kwa hivyo anafuata script aliyotengenezewa AU
2. Je ana masilahi binafsi ikiwemo ya kibiashara au kurudishiwa mali zake alizoporwa na serikali ya CCM kipindi cha Mwendazake?
3. Au je ni uzee na uchovu(wa Kisiasa) kwa hiyo ndo ameamua kwenda na falsafa maarufu ya "Kama huwezi kuwashinda, basi ungana nao?".
Katika nchi yoyote ukiona UPINZANI unafanya ROMANCE na Chama Tawala, Jua kuwa hakuna upinzani hapo bali kuna genge la wapiga dili wa kisiasa
Utaonekana kuwa ni sukuma gang bure.Siyumbi kwenye haya mambo boss.
Najitoa ufahamu vp mkuu? Mie msimamo wangu ni kwamba watanzania sio waoga, maandamano yashafanyika sana huko nyuma sasa madai ya uoga yanatoka wapi?Unajitoa ufahamu kabisa kuhusu maandano yaliyopelekea kifo cha akwilina siyo. Nyie ni wanafiki mnaojifanya mnapenda mageuzi lakini kiuhalisia mpo pamoja na ha ccm wasiotaka mageuzi.
Utaonekana kuwa ni sukuma gang bure.
Haya.Hata siku moja.
Haya.
Unaona hata wewe unanita mie sukuma gang! Mimi naelewa humu hatuamini kwenye kutofautiana mitazamo na ndio maana hata wewe hata usipoitwa sukuma gang utaitwa jina lengine lolote lenye kuonyesha umepotoka.Nyie sukuma gang mnafahamika.
Unaona hata wewe unanita mie sukuma gang! Mimi naelewa humu hatuamini kwenye kutofautiana mitazamo na ndio maana hata wewe hata usipoitwa sukuma gang utaitwa jina lengine lolote lenye kuonyesha umepotoka.
Siasa za kweli ni zipi? Toa mifanoIfanye siasa za ukweli, siyo siasa za kuunga mkono juhudi