Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

Unataka kusema chadema huwa hamtofautiani mawazo ndio maana unaona kwa hiki kinachoendelea kwa ccm na chadema ni wafuasi wa jiwe tu ndio wanapinga ila chadema wote wana mawazo aina moja?
Kutofautiana mawazo kila sehemu kupo ila kwa hili linalofanyika sasa,kwa mwana CDM anayelipinga atakuwa hajitambui,kweli kwa mateso yaliyokuwepo kwa wapinzani kwa serikali ya awamu ya 5,huu mwanga unaoonekana uukatae??Kwa wafuasi wa jiwe na ccm wengi hawapendi hilli kwani wanajua endapo tu pakiwa na uwanja sawa wa kufanya siasa hadi kwenye uchaguzi nini kinaweza tokea!!Najua bado kuna safari ndefu sana hasa kwa Mama!!labda ajizime data liwalo liwe mimi nataka katiba pendekezwa ile ya warioba ndio ije vile vile na iongozwe vitu na sio kupunguza,2030 amalize muda wake akapumzike,awe ameacha alama!!yenye kutukuka.
 
Sio rahisi hivyo!!Nyie wafuasi wa MEKO tunajua hiki kinachoendelea kinawauma sana!!mlitaka ziendelee zile siasa za kishenzi tu!!kwani mlikuwa mnafaidika nazo!!wewe una uchungu na CDM kuliko mbowe??
Leo mnapasuana wenyewe kwa wenyewe, hadi hamkumbukani. Huyo ni kamanda mwenzio[emoji23][emoji23]
 
Hujawahi kufanya hivyo kwa John Cheyo na siasa zake za kushirikiana na CCM
Kushirikiana na yule Mwendawazimu wa Chato ilikuwa ni aina mojawapo ya uzuzu uliokithiri, to reconcile na mtu mwenye utu ambapo kwa ajili ya maslahi ya raia wote ni akili na busara. Kutofautiana mitazamo ya kisiasa si uadui, mtu akipinga sera zako/zenu haimaanishi kwamba ni adui yako/yenu.
 
Wanafikili kuingia ikulu nikazi laisi ,Rais wangemuuliza Rais wa zambia
 
sukuma gang mpaka 2025 mtanyooka tu maana mluzoea kuuwa watu ili mpate posho za kipumbavu kupitia mauwaji sasa na mda wenu wa kufa kifo kibaya cha depression wapuuz nyinyi.
 
Wakati wanateseka kipindi cha Magufuli ulitoa msaada gani kwao waache wafanye wanaloliona ni sahii kwao
hao watakufa kwa sonona maana walizoea kufanya mauwaji ili walipwe posho leo hawana kaz wamebaki kujinyeanyea mitandaon na bado kufikia 2025 watakuwa wameisha kabisa.
 
Inaonesha kuna watu walikuwa wanufaika wa wenzao kufilisiwa, kutoheshimiwa, kudukuliwa, kuvamiwa, kuuawa
sio hivyo tu hili lijinga lilizoea kuuwa watu kwa kutumwa na yule dictator uchwara leo halina kaz limebaki kujinyeanyea tu na bado hadi 2025 sonona itakuwa imelimaliza kabisa.
 
wewe na mamako mliwahi kuandamana mbowe aliposema muandamane, halafu unasema kama hataki kuteseka akae pemben wew ni nan unamwambia akae pemben, pemben hakai na huna cha kufanya mbali na kuandika ujinga ulionao humu jf.
 
Hakuna upinzani TZ bali CCM B.

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Mbowe kalamba asali kawa mpole ka paka aliyeshiba.

Kila mtu apambane na hali yake.
sukuma gang mmekomeshwa na ikifika 2025 mtakuwa mmefutika kabisa.
 
Hujawahi kufanya hivyo kwa John Cheyo na siasa zake za kushirikiana na CCM
kaanzishe chama chako na familia yako ili usiwe kama john cheyo, otherwise sukuma gang mmekomeshwa kwelikweli na kufikia 2025 wote mtakuwa mmekufa kwa sonona masalia ya yule mbwa wa chato.
 
Rubbish!
 
Kwani ni lazima wapitie Chadema? Waambie waanzishe chama chao wafanye hayo unayoyataka.
 

Ni wewe kuanzisha chama chako
 
Mbowe/CHADEMA wamekubaliana mambo gani na Rais Samia/CCM ?
Swali zuri sana hili.
Kwa CHADEMA kushiriki katika hujuma za kuyafanya siri wanayokubaliana, hicho kinakuwa kichocheo muhimu sana kwa watu wanaofikiri kuwa tayari CHADEMA hawana tofauti na akina Shibuda na Cheyo.

Hili ni takwa (sharti) muhimu aliloweka CCM, ili ukifika wakati mambo kusamabaratika, iwe tayari CHADEMA hana wigo wa kujiondoa lawamani.

Hili ni kosa namba moja alilofanya Mbowe.
 
Hii ya "maridhiano" itammaliza kabisa Mbowe itakapojulikana kakisaliti chama.

Ile ya Lowassa kidogo ililkuwa na namna ya kuitetea, hii ya maridhiano ni Mbowe mwenyewe kaamua kujilipua.

Binafsi nasubiri kuona jinsi wanachama na mashabiki wa chama hiki watakavyo pokea matokeo ya hayo maridhiano ya siri kubwa, hapo yatakapo anza kufahamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…