Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

🤣 NDO maana mnaitwa keyboard worriors, embu anzisha chama chako ukapambane na struggle mpaka juitoe ccm madarakani, mbowe amepoteza vingi acha ale uzee kwa amani, amekaa lupango mwaka mzima wewe ukiwa ndani na mkeo, unaumia nn leo akitafuta suluhu, chadema wameishi kama panya kwenye utawala wa jiwe, ulitaka iendelee hvyo mpaka lini, siasa za kuokota miili kwenye viroba wewe unaziweza? wanaomtukana mbowe ruksa kujitoa chadema na kuanzisha chama chao, ila sio rahisi kuendelea kuivimbia serikali wakati backup yako ni wanachama waoga wanaokimbia wakisikia bomu la machozi, wewe wewe.
🤣
 
Ni mtu mpuuzi tu anaeweza kufikiri na kukubali ujinga uliondikwa na mleta mada!
CDM wameweka Utaifa mbele na sio uchama, niwahakikishie kuwa hii ndio siasa inayotakiwa ili kusukuma Taifa mbele.
Tushindane kwa hoja kuu
 
Sasa mbona mlikuwa mkitukana John Cheyo ila leo mnakuwa kama yeye?
 
Kumbe chadema ni chama cha Mbowe?
 
Ni mtu mpuuzi tu anaeweza kufikiri na kukubali ujinga uliondikwa na mleta mada!
CDM wameweka Utaifa mbele na sio uchama, niwahakikishie kuwa hii ndio siasa inayotakiwa ili kusukuma Taifa mbele.
Tushindane kwa hoja kuu
Kwani kabla ya haya maridhiano chadema siasa zao zilikuwa za aina gani?
 
CHADEMA = TLP.

Mbowe = Mrema.

Wachaga wanafanana wote.
katika wapuuzi bin hayawani bin mwendawazimu ni wewe!
Ni tatizo la utapiamlo mkali wa akili ndio maana unatumia lugha za kupuuzi!
Ungekuwa na akili kdg ungeangalia kwanza ustawi wa Taifa lakini kama huna akili huwezi kuona!
 
Mpaka Sasa cjaona kosa la Mbowe wala Samia katika maridhiano yanayoendelea, nikiona COVID 19 wamerudishwa kundin, na baraka zimetolewa na viongozi, nitakuwa wa Kwanza kulaani..
 
Ni mtu mpuuzi tu anaeweza kufikiri na kukubali ujinga uliondikwa na mleta mada!
CDM wameweka Utaifa mbele na sio uchama, niwahakikishie kuwa hii ndio siasa inayotakiwa ili kusukuma Taifa mbele.
Tushindane kwa hoja kuu
Sawa ccm b
 
Hpinzani siyo uadui.

Nawaangalia CHADEMA kwenye sera zao na mikakati yao kwa Taifa.

Tunahitaji siasa zisizo na vita ndani yake
 
Ni hivi,

Mlicho kifanya ni kujusalimisha kwa ccm kwamba sasa hamuwawezi, na sasa wao wanaweza kuwageuka mda wowote msifanye kitu!

Mikutano ipo kikatiba, anapotokea mtu anazuia hupaswi kuiomba mezani unaidai kwa nguvu ikiwezekana damu kumwagika, huo ndio upinzani, jifunzeni hapo kwa wenzenu Kenya tu.

Yani sasa hivi chadema ni mang'ombe tu kwa ccm!
 
Hpinzani siyo uadui.

Nawaangalia CHADEMA kwenye sera zao na mikakati yao kwa Taifa.

Tunahitaji siasa zisizo na vita ndani yake
Hayo hayaji kwa kujisalimisha kwa ccm!
 
Usimfananishe mwamba na wazee wa bahasha
 
Wao hawajasoma sana na huyo msomi Mwendazake alipokuwa akiongea , wakimwoma anaongea kiengereza kibovu kuliko wao
60% ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania hawawezi kuandika official letters. Hao nao wana utetezi upi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…