Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #201
Mkuu Mdu, mdukuzi , asante kwa hoja hii, humu jf ya kisasa, watu wa hoja deep za kihivi humu, wanahesabika.Hayupo anayeongea. Hakuna hata anayethubutu kunong’ona. Ni kama vile walikubaliana kimyakimya kuwa hakuna lolote la kusema. Mtu mmoja, Pascal Mayalla akiwa nje ya Chadema, anaweza kufanya nini?
Mungu Saidia!.Swali linabaki, Tanzania itaamka lini? Tutapambana lini na adui huyu ambaye kila siku anazidi kutufanya watumwa wa wenye nguvu? Labda ni ndoto tu – ndoto inayongoja shujaa wa kuifanikisha. Swali ni; shujaa huyo ni nani? Na atafika lini?
Naujua msimamo wako ni kutokukubaliana na kile unachokiita usultani wa utawala wa Mbowe ndani ya CHADEMA kwa muda mrefu. Ila kwa ukada na samahani kwa msamiati wa sasa unaotamba wa uchawa wako ndani ya CCM umejiunga na upande wa Abdul na mama Abdul ambao Tundu Lissu anautuhumu kwa rushwa.Wanabodi,
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Baada ya kusikia Lissu ana Press leo saa 6 mchana, nimeona nimkumbushe ushauri huu, autumie vizuri uhuru wake wa kujieleza, ila asimjibu bosi wake Mbowe, asije kuonekana ni mtovu wa nidhamu!.Wanabodi,
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, Tundu Lissu, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Kaka yako mkubwa Kaka Paskali.
Huyu ni mchumia tumbo tu. Anajiabishaga sanaNimeukumbuka huu uzi.
😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂Wanabodi,
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Acha ubaki ili tupime precision ya manabii wa JF.Monda tunaomba uzi huu ufutwe unapotosha uchaguzi na matokeo.
KAZI ni kipimo cha UTU
Unaendeleaje kaka Mayala?Wanabodi,
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
JPM aliona mbali sana wakafuata...Wajumbe....ujuaji mbaya sana...Baada ya kusikia Lissu ana Press leo saa 6 mchana, nimeona nimkumbushe ushauri huu, autumie vizuri uhuru wake wa kujieleza, ila asimjibu bosi wake Mbowe, asije kuonekana ni mtovu wa nidhamu!.
P
Nakiri hapa I was wrong!, nili mu under estimates TAL!.Wanabodi,
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Paskali wewe ulikula ngapi kutoka kwa mbowe ili uandike uchuro wako huoWanabodi,

Tupatie matokeo mkuu!! 🤣 🤣 🤣Wanabodi,

Siku hizi yupo off-target sana. Kuna uzi alisema sources zimemtonya hueanda Mpango ndo mpango mzima, mara ghafla tunaambiwa mpango kachoka.Huyu ni mchumia tumbo tu. Anajiabishaga sana
Uache unafiki tu.Nakiri hapa I was wrong!, nili mu under estimates TAL!.
Sasa nimekubali!
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
Wee mzee Ni snitch sana,Nakiri hapa I was wrong!, nili mu under estimates TAL!.
Sasa nimekubali!
One down, two to go!.
October 2025 ule mbuyu unakwenda chini!.
Usikute Lissu ni mpango wa Mungu kwa Tanzania post '25.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Hongera Sana Tundu Lissu!.
P
paschal Mayalla njoo tena kisha toa maoni yako..Wanabodi,