Pre GE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbaya zaidi huyo ropo ropo Lisu anatafuta Uenyekiti Kwa kutukana wenzie.

Nadhani Mbowe afanye Kila linalowezekana ashinde harafu tuone kitakachojiri Kwa hiyo Lisu wa Mabeberu
Kama uchaguzi ukiwa huru na haki chochote chaweza tokea ndugu, wajumbe 1200 watagawanyika tu
 
Hata ukiwa na akili ya kuvukia barabara tu huwezi kufurahia Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CDM Taifa. CCM pekee ndio watakaofurahia maana wana CCM hawajali kuhisi demokrasia au utawala bora bali matumbo yao tu
 
Mbaya zaidi huyo ropo ropo Lisu anatafuta Uenyekiti Kwa kutukana wenzie.

Nadhani Mbowe afanye Kila linalowezekana ashinde harafu tuone kitakachojiri Kwa hiyo Lisu wa Mabeberu
TAL nimegundua akili yake ni kupiga kelele TU!
Kuchukua fomu ya uwenyekiti chadema, amekalia kuti kavu!
 
Ccm mkija kuelewa walichokifanya chadema.zis time mtakuwa mpo nyuma ya muda, chadema wameamua kuwachezea karata ccm bila kujua, mbowe anaenda kumuachia kiti lisu ila wameamua kustage episode na ccm wameingia mazima
 
Hata ukiwa na akili ya kuvukia barabara tu huwezi kufurahia TAL kuwa Mwenyekiti wa CDM Taifa, anavyotukana serikali na Saa100.
 
Wenje nje ya Siasa hana Taaluma ya kumfanya aishi zaidi ya kuwa Chawa, IQ ya Wenje ni ndogo sana hajui kujieleza hajui kujenga hoja kwa kifupi Wenje ni mtu mjinga mjinga tu, Lisu ana Taaluma kubwa nje ya Siasa ataishi bila shida hata akiamua kuacha Siasa atapata kazi nyingi za kufanya, kwenye uchaguzi huu wakichakachua mbowe akawa mwenyekiti haramu, Lisu atatulia na kuwa mwanachama wa kawaida na kuendelea na kazi zake zingine bila wasiwasi, Paskal mayala atambue kuwa kuna kushinda na kushindwa vyote ni matokeo ingawa wenje akikosa yeye hana taaluma zaidi ya kuwa chawa
 
TAL nimegundua akili yake ni kupiga kelele TU!
Kuchukua fomu ya uwenyekiti chadema, amekalia kuti kavu!
Tambua uchaguzi ni kushinda au kushindwa na ukichakachua Lisu ashindwe hakuna noma, Lisu hana shida atasalia kuwa mwanachama wa kawaida na kuendelea na maisha kama kawaida
 
Pale mwanaccm aliyekomea kura Moja ya maoni kwenye chama chake anapojadili mambo ya chadema.
 
Bora upinzani ufe Lissu atulie ajasili chama tuanze upya leo nimekasirika natamani kuua kabisa
Yaani ndiyo hiki alichokuwa akisubiri eti kwa saa 48?? Au alitoa muda huo kwa wafuasi wake kumtukana kumkejeli na kumdhalilisha Mpinzani wake kisha aje mwenyewe kufanya hitimisho???
 
Pale mwanaccm aliyekomea kura Moja ya maoni kwenye chama chake anapojadili mambo ya chadema.
Paskal mayala katumwa na Wenje atest aone, lakini sasa kaogopa nadhani huko alipo anajuuta kumfahamu wenje kwani kumponza aandike uzushi usio na tija
 
Pasikali anapojitoa akili ili aonekane Pisikali.
Ulitaraji hotuba ya aina gani pale?
Besides, nimesikia Lissu akijibiwa kumtuhumu Mbowe kuhusiana na maswala pesa, wakati mimi nimekuwa nikimsikia Lissu akimtetea Mbowe kuhusiana na Tuhuma hizo na ndiyo maana akasema kuna haja ya kubadili mifumosababu inambebesha lawama mtu mmoja.
WAkati akitangaza kugombea, Lissu alizitambua juhudi za Mbowe na akasema yeye hagombei kwa kuwa Mbowe hafai, bali ameona ni wakati wa kufanya mabadiliko.
Tatizo watanzania ukiwasikiliza hoja zao unaishia kushangaa wanamuongelea nani.
Hotuba ya leo ya Mbowe ukiisikiliza ni kama walikuwa wakimtuhumu Lissu kwa mambo either hakuyaongea au hawakuyaelewa
 
Mwenye shida sio Lissu per se, ni CHADEMA kwa ujumla wake. Juzi kati nilisema kuwa CHADEMA sasa wanatembea kwenye footsteps za vyama vya NCCR Mageuzi na CUF na wanaonekana sio smart enough kuukwepa huo mkenge wa civil war. Hakuna shaka kwamba mchuano wa incumbent na challenger yeyote mwenye influence ni civil war ambayo haiwezi kukiacha chama salama!
 
Yaani ndiyo hiki alichokuwa akisubiri eti kwa saa 48?? Au alitoa muda huo kwa wafuasi wake kumtukana kumkejeli na kumdhalilisha Mpinzani wake kisha aje mwenyewe kufanya hitimisho???
Ebu pima Akili za washauri wa mbowe ni Akina wenje, Paskal, sugu na wenzao unategemea nini hapo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…