MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Lissu kashashindwa mapema sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeibukia wapi uchaguzi wa chadema😂😂😂Lissu kashashindwa mapema sana.
Kama uchaguzi ukiwa huru na haki chochote chaweza tokea ndugu, wajumbe 1200 watagawanyika tuMbaya zaidi huyo ropo ropo Lisu anatafuta Uenyekiti Kwa kutukana wenzie.
Nadhani Mbowe afanye Kila linalowezekana ashinde harafu tuone kitakachojiri Kwa hiyo Lisu wa Mabeberu
TAL nimegundua akili yake ni kupiga kelele TU!Mbaya zaidi huyo ropo ropo Lisu anatafuta Uenyekiti Kwa kutukana wenzie.
Nadhani Mbowe afanye Kila linalowezekana ashinde harafu tuone kitakachojiri Kwa hiyo Lisu wa Mabeberu
Wenje nje ya Siasa hana Taaluma ya kumfanya aishi zaidi ya kuwa Chawa, IQ ya Wenje ni ndogo sana hajui kujieleza hajui kujenga hoja kwa kifupi Wenje ni mtu mjinga mjinga tu, Lisu ana Taaluma kubwa nje ya Siasa ataishi bila shida hata akiamua kuacha Siasa atapata kazi nyingi za kufanya, kwenye uchaguzi huu wakichakachua mbowe akawa mwenyekiti haramu, Lisu atatulia na kuwa mwanachama wa kawaida na kuendelea na kazi zake zingine bila wasiwasi, Paskal mayala atambue kuwa kuna kushinda na kushindwa vyote ni matokeo ingawa wenje akikosa yeye hana taaluma zaidi ya kuwa chawa1. Ulitaka Mbowe akiri huo nusu mkate?
2. Unadhani Lissu anamuogopa Wenje hadi amsingizie?
3. Acha vita ipiganwe, kwa Maoni yangu Mbowe atatetea kiti kwa vile amepewa pesa ndefu na dola lkn atavuna aibu ya milele kama Lipumba na Mrema.
4. Mbowe atatolewa mifano kwa vizazi vijavyo kama msaliti wa mageuzi ya kweli
5. Mbowe atatajwa kama fisadi la kisiasa.
5. Lissu kwa vile ni msafi ataendelea kung,aa kama dhahabu safi.
6. Namshauri Lissu aendelee kukaa mbali na rushwa.
Note: Kuna kushindwa kwa kushinda.
Na kuna kushinda kwa kushindwa.
Zingatia hilo.
Tambua uchaguzi ni kushinda au kushindwa na ukichakachua Lisu ashindwe hakuna noma, Lisu hana shida atasalia kuwa mwanachama wa kawaida na kuendelea na maisha kama kawaidaTAL nimegundua akili yake ni kupiga kelele TU!
Kuchukua fomu ya uwenyekiti chadema, amekalia kuti kavu!
Pale mwanaccm aliyekomea kura Moja ya maoni kwenye chama chake anapojadili mambo ya chadema.Kwani uchaguzi hautakuepo, tunategemea nyie wakongwe kutetea demokurasia na kuongoza vijana sio kuonyesha upande wa ushabiki.
Hapo sioni wapi Tundu kavuliwa nguo au Mbowe ndo ana dhihilisha uchwu wake wa madaraka, sidhani kama wajumbe wote watamuunga mukono hata kama atawapa Rushwa wale ni watu wazima kuna uwezekano pia Mbowe kupoteza uchaguzi, hapa naona ndo patamu kuona dimokurasia inavo fanya kazi sio ushabiki......atakae shindwa akubali matokeo tu.
Mbowe atachakachua usiwe na shaka juu ya hiloHata ukiwa na akili ya kuvukia barabara tu huwezi kufurahia TAL kuwa Mwenyekiti wa CDM Taifa, anavyotukana serikali na Saa100.
Yaani ndiyo hiki alichokuwa akisubiri eti kwa saa 48?? Au alitoa muda huo kwa wafuasi wake kumtukana kumkejeli na kumdhalilisha Mpinzani wake kisha aje mwenyewe kufanya hitimisho???Bora upinzani ufe Lissu atulie ajasili chama tuanze upya leo nimekasirika natamani kuua kabisa
Paskal mayala katumwa na Wenje atest aone, lakini sasa kaogopa nadhani huko alipo anajuuta kumfahamu wenje kwani kumponza aandike uzushi usio na tijaPale mwanaccm aliyekomea kura Moja ya maoni kwenye chama chake anapojadili mambo ya chadema.
Pasikali anapojitoa akili ili aonekane Pisikali.Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
No sikumshauri kugombea uenyekiti, nilimshauri kugombea urais ile 2020 Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!Brother,Paskal! Mshauri wa TAL ni mtu mbaya sana!
Amemshauri vibaya sana!
Kuchukua fomu ya uwenyekiti,ameingia choo cha kike!
Pia mkumbushe TAL kuwa chadema hainaga kura za huruma!
Mwenye shida sio Lissu per se, ni CHADEMA kwa ujumla wake. Juzi kati nilisema kuwa CHADEMA sasa wanatembea kwenye footsteps za vyama vya NCCR Mageuzi na CUF na wanaonekana sio smart enough kuukwepa huo mkenge wa civil war. Hakuna shaka kwamba mchuano wa incumbent na challenger yeyote mwenye influence ni civil war ambayo haiwezi kukiacha chama salama!Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Ebu pima Akili za washauri wa mbowe ni Akina wenje, Paskal, sugu na wenzao unategemea nini hapo ?Yaani ndiyo hiki alichokuwa akisubiri eti kwa saa 48?? Au alitoa muda huo kwa wafuasi wake kumtukana kumkejeli na kumdhalilisha Mpinzani wake kisha aje mwenyewe kufanya hitimisho???
Ahahah, na huko mamluki pia watatimbaBora upinzani ufe Lissu atulie ajasili chama tuanze upya leo nimekasirika natamani kuua kabisa