Shida ya hii nchi bado hatuna chama cha upinzani vyote n ccm bMwisho wa Lissu ndo mwisho wa chadema .
Chadema anaenda kuungana na CUF , TLP na NSSR
Tumshauri wakimzingua aende chauma hawezi kukosa hata wabunge watano mwakaniBora upinzani ufe Lissu atulie ajasili chama tuanze upya leo nimekasirika natamani kuua kabisa
Wenje na paskal wamepeleka Bundi la Lipumba na mbatia chadema ni mda wa kujitafakari sanaMwenye shida sio Lissu per se, ni CHADEMA kwa ujumla wake. Juzi kati nilisema kuwa CHADEMA sasa wanatembea kwenye footsteps za vyama vya NCCR Mageuzi na CUF na wanaonekana sio smart enough kuukwepa huo mkenge wa civil war. Hakuna shaka kwamba mchuano wa incumbent na challenger yeyote mwenye influence ni civil war ambayo haiwezi kukiacha chama salama!
Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Anaweza kukifanya chama kikuu cha upinzani. Tatizo Chauma piw kinaweza kuwa kinapewa maelekezo kutoka kwa Abdul na mama Abdul.Tumshauri wakimzingua aende chauma hawezi kukosa hata wabunge watano mwakani
Mzee wa ubwabwa akipata support ya umma ana msimamoAnaweza kukifanya chama kikuu cha upinzani. Tatizo Chauma piw kinaweza kuwa kinapewa maelekezo kutoka kwa Abdul na mama Abdul.
Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Chadema inakwenda kufa sacabu ya upumbavu wa Mbowe.Bado ngoma haijaisha lazima tumtoe Mbowe
Sera zake ni zipi ukiacha ya ubwabwa?Mzee wa ubwabwa akipata support ya umma ana msimamo
NAKAZIAMwisho wa Lissu ndo mwisho wa chadema .
Chadema anaenda kuungana na CUF , TLP na NSSR
PASKAL UMESEMA:Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Chadema inakwenda kufa sacabu ya upumbavu wa Mbowe. na siku tukiruhusu wachunguzi huru km Scotland Yard kwenye tukio la kumiminiwa risasi Tundu Lisu .. jina la Mbowe litakuwa miongoni mwa watuhumiwa.Bado ngoma haijaisha lazima tumtoe Mbowe
Nakuheshimu sana ila umeandika kishamba mno.Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Nenda kwenye ule uzi wa Poll .. usinipigie kelele...Mwambie Lisu maneno haya..usiyalete hapa we shetani mdogo..!
Poll ya wasiopiga kura unaweza kufanya ref..utakuwa mwehu wewe! vitisho na kelele vya nini, subiri uchaguzi matokeo yasome ndio ufunue hilo bakuli..Nenda kwenye ule uzi wa Poll .. usinipigie kelele...
Utajijua..Poll ya wasiopiga kura unaweza kufanya ref..utakuwa mwehu wewe! vitisho na kelele vya nini, subiri uchaguzi matokeo yasome ndio ufunue hilo bakuli..