Pre GE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenye shida sio Lissu per se, ni CHADEMA kwa ujumla wake. Juzi kati nilisema kuwa CHADEMA sasa wanatembea kwenye footsteps za vyama vya NCCR Mageuzi na CUF na wanaonekana sio smart enough kuukwepa huo mkenge wa civil war. Hakuna shaka kwamba mchuano wa incumbent na challenger yeyote mwenye influence ni civil war ambayo haiwezi kukiacha chama salama!
Wenje na paskal wamepeleka Bundi la Lipumba na mbatia chadema ni mda wa kujitafakari sana
 
Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.

Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.

Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.

Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box

Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!

Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.

Tundu Lissu chutama!.

Kaka yako mkubwa
Paskali.

Nadhani iko wazi kabisa kuwa Mbowe hamuhitaji Lisu .

Mbowe hana shida ya chama chake kuingia madarakani .
Ni chama kinachotegemea serikali Corrupt ili apige mapesa yake na sio kuingia madarakani .

Mbowe hana shida na CCM ya wala Rushwa bali kukalia kiti .

Kama kweli Tundu Lisu ni mkweli basi ni vyema akajitoa kwenye kinyang'anyiro kulinda heshima yake . Amerikanwa na kudhalilishwa sana na mwenyekiti alifanya makusudi kuchelewa kuchukua fomu . Na kama sio taarifa zilizomfukia lisu Mapema huenda walikua na njama na mafisadi wenzake waliopo upande wa pili kumhujumu ili ionekane hakuna mtu wa kugombea ili mbowe aendelee . Sasa ameona mbinu bora ni kuweka wafu wa kusema kuwa wamemshauri aendelee maana hakuna mtu wa kumwachia chama .

Lisu arejee kauli yake kuwa aliyomuahudi Mbowe mwenyewe akisema kuwa kama Mwenyekiti utagombea mimi sitagombea .

Hivi Mbowe atadai katiba gani na tume gani ya uchaguzi . Wanaofundisha nini jamii iliyokata tamaa na siasa za kidikteta na kupora uchaguzi . ?

Kwa nini Lisu akubali kuwa Mbuzi wa Kafara kwa manufaa ya Mtu mmoja . Ni wazi Kuna jambo lilifanyika kwa Chacha Wangwe na mbowe maana haiwezekani miaka 20 bado kuna uchumkubwa wa madaraka sembuse miaka ya mwanzo ya Uenyekiti wake ni wazi hakutaka Chacha Wangwe ampinge .

Lisu Jitoe maana kamwe hutaweza kushindana na mafya Mbowe na bilionea aliyeko tayari kwa lolote kung'ang'ania madaraka ya chama chake kama alivyosema .

Alisema wazi kuwa akiona chama chake kinapelekwa kubaya anaingia mzigoni. Kumbe Lisu unapeleka chama kubaya .

Q
Lisu Jitoe na kama una wetu waliokua wa anataka kukupigia kura basi wapige kura za hapana kwa Mbowe ili ajue kuwa watu wamemchoka na amelazimisha kwa sababu ya nguvu ya pesa na ukabila ambapo ameweka wajumbe wa kabila lake kila mkoa maana wapo maeneo mengi nchini tofauti na makabila mengine .

Lisu kiroho safi kabisa Jitoe kwenye huu uchafuzi unaoandaliwa na Mbowe akishirikiana na idara maalumu kaa Pembeni ajiandae jimboni kwako kugombea ubunge maisha yaendelee, maana hata 2025 hawatakupitisha kugombea Urais maana wanataka Mafisadi watawala ili wauze nchi wagawane rushwa.

Lisu Jali afya yako ussipiganie chama cha mtu binafsi. Mbowe hana Rafiki kwenye Uenyekiti wa Chadema . Utapotea na kuiacha familia yako ikiteseka kutokana na siasa za kitapeli na kifisadi. Ali kibao zimesahaulika na Mbowe yalichangisha hata mil.100 kwa wanachama zaidi akataka kujipatia umaarufu kutokana na kifo cha Ally Kibao. Familia inahangaika na kumlilia Mama Samia.

Kwa vyovyote Chadema chini ya Mbowe haiwezi tena kukubalika kwa makabila mengine nchini na pia haiwezi kuzungumzia Utawala wa kidemokrasia .
 
Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.

Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.

Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.

Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box

Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!

Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.

Tundu Lissu chutama!.

Kaka yako mkubwa
Paskali.

Kati ya mbowe na Lissu nani amevuliwa nguo?

Unamshauri Lissu kwa kuwa ni mmdhambi au unatafuta fungu kwa prince?

Nani ameanika uchafu wa chama
Huna tofauti na mtu mfupi sijui jina lake hali si.
Kama Taifa tuna safari ndefu sana.
sisiem watatawala mpaka akirudi masihi!

Lissu anzisha chama mbadala tujiunge
 
Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.

Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.

Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.

Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box

Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!

Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.

Tundu Lissu chutama!.

Kaka yako mkubwa
Paskali.
PASKAL UMESEMA:
"Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara".
Kwa sifa hizo atajibu na nashangaa kwanini umemshauri kwa maana atapuuza ushauri wako-POLE
 
Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.

Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.

Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.

Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box

Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!

Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.

Tundu Lissu chutama!.

Kaka yako mkubwa
Paskali.
Nakuheshimu sana ila umeandika kishamba mno.
 
Nenda kwenye ule uzi wa Poll .. usinipigie kelele...
Poll ya wasiopiga kura unaweza kufanya ref..utakuwa mwehu wewe! vitisho na kelele vya nini, subiri uchaguzi matokeo yasome ndio ufunue hilo bakuli..
 
Kama watu wanakuchagua kwa elfu 20 na kofia basi mwendo ni ule ule
Watachagua mwenye hela
Naona kuna mtu kapewa mabilioni ya kugawa ili mwingine azibwe mdomo
Siasa za nchi masikini kuna kila aina ya uchafu, mauwaji, kurogana, rushwa na hata kusaidiwa kifedha na matajiri au wakubwa pia
Ni kawaida kwa nchi masikini duniani wala msishangae sana
 
Back
Top Bottom