Pre GE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo nimeamini CHADEMA ni mali ya Mbowe na Wachaga, sisi wengine heri tubaki Simba na Yanga huku tukifuatilia Trump anasema nini kuliko kuwa mfuasi wa siasa za Tanganyika
Tangulini mkawa wamaana hata huko Yanga na Simba hamueleweki Leo kocha mbovu oho Dube hamna kitu hoo Mo kapora timi

Hamueleweki waporipori
 
Pascal Mayalla unakumbuka uchaguzi wa CUF kati ya Maprofessa Lipumba na Safari?
Safari alipata kura moja akahama Chama 😂
 
Kumbe na ww mweupe kichwani kiasi hicho, aisee sikutegemea mtu kama ww kuleta porojo kama hizi kama vile hujasoma na kuelewa democrasia inavyotakiwa, bro ww ni miongoni mwa wanafiki wakubwa sana.
 
Mbowe hana tofauti na ccm pumbafuu kabisa kumbe ccm wapo sawa wanavyoibaga kura wote hawataki kutoka madarakani
 
Niliposoma hili bandiko ghafla nikakumbuka enzi zetu tukiwa shule ya Msingi, tulikuwa tunasakzia sana watu wapigane. Eti X anasema anaweza kukupiga Y?, Y unasemaje? si nyanya tu yule, mfanyizie.... etc etc...!😂😂😂😂

Ila kwa Lissu ninavyomjua ataitusha komferesi fasta, au at least atatoa tamko Fulani maana waandishi wa kibiashara watamtafuta tu!

Kaka PASKALI, kikubwa tusibiri maamuzi ya wanachama. Hakuna mshindi so far!
 
Lissu the great hamjibu mtu ananyosha ukweli.
 

Nafunga na kuomba asikie huu Ushauri, Kabla Wenje ajaongea nilikuwa na m support Tundu Lisu, alipoongea to Wenje nikaona jamaa ni dudu la hovyo sana lenyw husda
 
TAL ni kiumbe hatari kwa serikali !
Asingekuwa mbowe,kipindi kile,angetibiwa MOI, ingekutwa tulisha msahau TAL.
 
Mwisho wa Lissu ndo mwisho wa chadema .

Chadema anaenda kuungana na CUF , TLP na NSSR
Wapo waliota kuwa CHADEMA itakufa ndani ya mwaka mmoja lakini CHADEMA bado inadunda na wanachama kibao mpaka CCM wanatumia kura fake kushinda uchaguzi kwa kuiogopa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…