MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
WanaCCM tuna imani na Mbowe. Atakivusha chama rafiki CHADEMAWewe umeibukia wapi uchaguzi wa chadema😂😂😂
Wewe si CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanaCCM tuna imani na Mbowe. Atakivusha chama rafiki CHADEMAWewe umeibukia wapi uchaguzi wa chadema😂😂😂
Wewe si CCM?
Tangulini mkawa wamaana hata huko Yanga na Simba hamueleweki Leo kocha mbovu oho Dube hamna kitu hoo Mo kapora timiLeo nimeamini CHADEMA ni mali ya Mbowe na Wachaga, sisi wengine heri tubaki Simba na Yanga huku tukifuatilia Trump anasema nini kuliko kuwa mfuasi wa siasa za Tanganyika
Pascal Mayalla unakumbuka uchaguzi wa CUF kati ya Maprofessa Lipumba na Safari?Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Hawakutaka maana wanajua hawezi kushinda, alisema wenje janaToka mwanzo wafuasi wake wakipiga kelele mbowe asigombee kumbe wanajua kuwa hawana uwezo wa kutoboa ?
Tatizo Kamdomo 😅😂
Kumbe na ww mweupe kichwani kiasi hicho, aisee sikutegemea mtu kama ww kuleta porojo kama hizi kama vile hujasoma na kuelewa democrasia inavyotakiwa, bro ww ni miongoni mwa wanafiki wakubwa sana.Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Mbowe hana tofauti na ccm pumbafuu kabisa kumbe ccm wapo sawa wanavyoibaga kura wote hawataki kutoka madarakaniWanabodi

Niliposoma hili bandiko ghafla nikakumbuka enzi zetu tukiwa shule ya Msingi, tulikuwa tunasakzia sana watu wapigane. Eti X anasema anaweza kukupiga Y?, Y unasemaje? si nyanya tu yule, mfanyizie.... etc etc...!😂😂😂😂Wanabodi
Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza!.
Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema!. Je ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja, ama atajitoa?, na akiamua kujitoa kutoendelea kugombea, jee atabaki Chadema, ama atabwaga manyanga na kujitimkia zake Ubeligiji ama atatimka Chadema na kujiunga na chama kingine kitakachompa tiketi ya kugombea urais?.
Mimi Tundu Lissu ni mdogo wangu wa shule ya sekondari pale Ilboru, kwa vile namjua sana ni mtu machachari na papara, hivyo nimejitolea kwanza kumshauri to cool down!, asifanye uamuzi wowote wa papara, utakao iumiza Chadema.
Soma Pia: Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwa box
Kitu cha pili ni kumuomba, Please please please, usiitishe press conference yoyote kumjibu Mbowe, huo utakuwa ni utovu wa nidhamu, Lissu ni umevuliwa nguo na kuachwa mtupu kabisa!, kumbe hakuna rushwa yoyote Chadema!, hakuna hongo yoyote ya Abdul na Mama yake!, kumbe hata nusu mkate ni uzushi wako tuu?!
Mtu mzima unapo vuliwa nguo hadharani mchana kweupe na kuachwa mtupu kabisa kwenye kadamnasi ya watu, dawa sio kujitetea bali ni kuchutama!.
Tundu Lissu chutama!.
Kaka yako mkubwa
Paskali.
Lissu the great hamjibu mtu ananyosha ukweli.Wanabodi

Wanabodi

Akae kwa njia haramu za uchakachuaji kura pole na posho za mbowe mitandaoniMBOWE lzm AKAE.......hakuna namna.....Poleni Wala Posho za CCM mitandaoni
Hatari ni mbowe kuiba pesa za chademaTAL Kwa style ya maisha yake hapa nchini na mdomo wake kupitia kauli zake!
Kupewa uongozi wa juu kabisa wa chama ni hatari kubwa sana!
Alizikuta wapi akazibeba!Hatari ni mbowe kuiba pesa za chadema
Ulitaka asichukue fomu auNafikiri kwa kilichotokea leo Mbowe ndo amejivua nguo na kuonekana mazaifu yake makubwa
Wapo waliota kuwa CHADEMA itakufa ndani ya mwaka mmoja lakini CHADEMA bado inadunda na wanachama kibao mpaka CCM wanatumia kura fake kushinda uchaguzi kwa kuiogopa CHADEMA.Mwisho wa Lissu ndo mwisho wa chadema .
Chadema anaenda kuungana na CUF , TLP na NSSR
Kumbe kugombea ni kujivua nguo.Nafikiri kwa kilichotokea leo Mbowe ndo amejivua nguo na kuonekana mazaifu yake makubwa
Sijaelewa kwanini mnaogopa uchaguzi?Lissu akiondoka CHADEMA.. ndo mwisho wa CHADEMA.
Ukweli ni kwamba walioko na Mbowe ni wachache sana ambao wana maslahi ya kifamilia zaidi. Hili hata yeye analifahamu.
Way forward. Lissu aachane nao tu. WAJIFIE.