DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wapo waliota kuwa CHADEMA itakufa ndani ya mwaka mmoja lakini CHADEMA bado inadunda na wanachama kibao mpaka CCM wanatumia kura fake kushinda uchaguzi kwa kuiogopa CHADEMA.
Akili za Magufuli hizi, aliamini bila yeye hakuna Tanzania, haya yuko wapi sasa?MWISHO WA LISSU NDIO MWISHO WA CHADEMA..MLIJUE HILO
Mkuu nchi inavituko sana hii, kwamba kuna wakongwe hata tafasiri ya uchaguzi hawajui.Kwani uchaguzi hautakuepo, tunategemea nyie wakongwe kutetea demokurasia na kuongoza vijana sio kuonyesha upande wa ushabiki.
Hapo sioni wapi Tundu kavuliwa nguo au Mbowe ndo ana dhihilisha uchwu wake wa madaraka, sidhani kama wajumbe wote watamuunga mukono hata kama atawapa Rushwa wale ni watu wazima kuna uwezekano pia Mbowe kupoteza uchaguzi, hapa naona ndo patamu kuona dimokurasia inavo fanya kazi sio ushabiki......atakae shindwa akubali matokeo tu.
Sivyo.Mwisho wa Lissu ndo mwisho wa chadema .
Chadema anaenda kuungana na CUF , TLP na NSSR
Jiue nyumb wewe! 🤣Bora upinzani ufe Lissu atulie ajasili chama tuanze upya leo nimekasirika natamani kuua kabisa
Atakuwa amepenyezewa bahasha kumchafua Lisu na ChademaUmeandika utopolo mtupu
CCM itatawala milele kwasababu ya watu kama akina
Hivi Paskal ni Mwanasheria au ni Mhitimu wa Sheria?? Napata ukakasi kwenye chambuzi zake na misimamo yake ya kuyumbayumba.Ebu pima Akili za washauri wa mbowe ni Akina wenje, Paskal, sugu na wenzao unategemea nini hapo ?
Tatizo Pasco haandiki kitu kukufurahisha wewe, yeye anafanya uchambuzi kwa maono yake.Hivi Paskal ni Mwanasheria au ni Mhitimu wa Sheria?? Napata ukakasi kwenye chambuzi zake na misimamo yake ya kuyumbayumba.
Hamna kituu....Sijaelewa kwanini mnaogopa uchaguzi?
Tathmini ni kwenye sanduku la kura ndio litatupa majibu nani anayetakiwa?Hamna kituu....
Mjitathimini na Mwenyekiti
Hata wewe funza umekigeuka chama chako?Shida ya mbowe ni moja uchoyo kugeuza pesa za chama kuwa pesa zake binafsi na sasa atazitumia kuchakachua uchunguzi na hata akishinda tena chadema itakuwa chama legelege hakuna mtu anapenda kuwa na kiongozi mchoyo mroho wa pesa za chama
Mkuu Minyo, minyoo , mimi situmwi na mtu, hivyo sijatumwa na Wenje au na yeyote, mimi huwa najituma mwenyewe!.Wenje kakosea sana kumtuma Paskal mayala awasemee, alipaswa ajue kuwa Watanzania wa sasa wameamka wanajua mapungufu ya Mbowe, Mayala na Wenje, hapo mmechemka nendeni mkae mtafakari kwanza ndipo mjue cha kuandika.