MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Ninaipenda sana hii system ya ukimya wa Yanga, huwa hawaongei wala kujimwambafy linapokuja suala la michezo mikubwa, hauwezi kumkuta Max akizungumza na waandishi au Job akiwa busy na camera, labda ikiwalazimu kufanya hivyo.
Utakumbuka mechi dhidi ya CRB hakuna aliyejua au kutarajia Yanga angefanya ile comeback ya kibabe vile, walichokiongea, walichokuwa wanakifanya huko avic town? Hakuna anayejua, Ogopa sana adui mkimya, maana haujui plan na atakuja kwa namna gani.
Simba wakajivunia tumeiba ngoma airport, sijui Mafundo ya alone, sijui wamesha 'Onana' na Mkandaji, Kilichofuata sasa 😀😀😀
Bado wanasema wameandika 'Balua' ya kupiga 'Mkwala' kwamba 'Debora' anapika na Ong bak ana 'Ahueni' kwamba 'Mutale'ta timu uwanjani? 😀
Haya ngoja tuone kama striker la penalty 'Ataiba' magoli 😀 NB (Wazee tumeshamaliza kikao)