Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

Hapo Avic Town ni kiringeni.
1728533622315.png
 
Mimi nimetoa angalizo, sipo hapa kubishana na mtu. Siyo kila siku mtapata nafasi ya kumuhonga Kamisaa wa mchezo ili afunike kombe mwanaharamu apite.

Mtaishia kusema mchezaji fulani ni majeruhi hawezi kusafiri kisa kuogopa vipimo, mwisho wa siku watu wataanza kuhoji mbona hili linatokea kila siku.
Dar Young Africans Champions......na wavimbe wapasuke...........unachokiombea naona huko kwa makolowizard ndo mnachopitia kwa sasa
 
Mnatumia nguvu nyingi sana kuuficha udhaifu wa 51mba. Hamna timu nyie. Huku kwenye dawa, bahasha, hospitali, kusisimua misuli, refa, sijui wachezaji wenu ni mamluki, NI KUJARIBU KUKIMBIA KIVULI CHENU.

View attachment 3120468
Mbona Yanga mnapenda sana kuweka vitu nyuma? Kwanza mwiko na sasa mnaweka hadi matatizo
 
Back
Top Bottom