SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Haujui bahasha na Tigopesa ni kitu kimoja?Kwahiyo, siyo bahasha tena wala tiGo pesa? Kwamba sasa ni "dawa"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujui bahasha na Tigopesa ni kitu kimoja?Kwahiyo, siyo bahasha tena wala tiGo pesa? Kwamba sasa ni "dawa"?
Alizitaja aina ya dawa...!!Hata bahasha ni dawa. Hujawahi kusikia pesa ni sabuni ya roho?
Ni kitu kimoja lakini huwa mnataja vyote..!! Ila kwamba mna uwezo mdogo huwa hamsemi.Haujui bahasha na Tigopesa ni kitu kimoja?
Sawaaa. Kwani wewe haujawahi kwenda hospitali wakakupa dawa zaidi ya moja zote utumie kutibu tatizo moja?Ni kitu kimoja lakini huwa mnataja vyote..!! Ila kwamba mna uwezo mdogo huwa hamsemi.
😀😀😀 kwamba jamaa ni le'kundu' la msimbazi?Sawa weekundu wa Msimbazi
Ushaambiwa utulie we'kundu' wa msimbazi😀Mashabiki wa Yanga wengi akili zenu zipo pale ulipo mwiko wenu...
Hizo dawa nadhani makolo ndiyo wanaongoza kutumia, mpaka kocha msaidizi wa makipa alishawahi kudakwa na madawa ya kulevya, timu inaloga mpaka uwanjani huko south itashindwa kutumia madawà?CAF wanaongeza umakini katika matumizi ya dawa za kusisimua misuli, msijesema hamkuambiwa.
Huyo Kapombe anapiga ulabu balaa kila jioni tunashinda naye hapa kijiweniHivi huwa mnawaona wachezaji wa Yanga wanavyofanya mazoezi binafsi? Muulizeni Samantha au Mohamed hussein umuhimu wake. Sio wachezaji muda wote wako buguruni na Riverside
Nani kasema hatufungwi? Algeria tulipigwa 3, Misri tukafungwa 1 na al ahly, FC Augsburg walitupiga na yote tukakubali maisha yakaendelea😀 nyie mnaojiita majayanti ndiyo hamtaki kukubali mmeshakufa kisoka Tanzania na Afrika, na huko shirikisho mpambane sanaHao jamaa Wana kiwewe.. Mpira una matokeo matatu.
1. Suluhu
2. Kufungwa
3. Kufunga
Eti wao wanadai hawana Suluhu au kufungwa kwenye timu yao, ngoja tuone.
Hakikisheni wachezaji wenu wanakula vizuri na kufanya mazoezi yanayotakiwa. Uwanjani sio sehemu ya ngojeraMimi nimetoa angalizo, sipo hapa kubishana na mtu. Siyo kila siku mtapata nafasi ya kumuhonga Kamisaa wa mchezo ili afunike kombe mwanaharamu apite.
Mtaishia kusema mchezaji fulani ana majeruhi hawezi kusafiri kisa kuogopa vipimo, mwisho wa siku watu wataanza kuhoji mbona hili linatokea kila siku.
Nasikia maji ni tiba ya misuri, Google this: can water strengthen musclesMimi ni Yanga ila ninachojua mimi ni kwamba wachezaji wetu hua wanatumia dawa za kusisimua misuli na tusipo kua makini hili swala litakuja kututokea puani
Nakuamini hizi ni za ndani kabsa huwezi ni tenganisha na yanga yanguChanzo kilichokupa hizi taarifa unakiamini?.....au ni kupakana Matope tu?
Mganga kawaambia wasiongee na siku ya mechi wasipitie getini na wakianza wapige mpira nje ila yanga.Mashabiki wa Yanga wengi akili zenu zipo pale ulipo mwiko wenu...
Yule jamaa aliyetoka asec mimosa asipotumia dawa anakuwa legelege.Mimi ni Yanga ila ninachojua mimi ni kwamba wachezaji wetu hua wanatumia dawa za kusisimua misuli na tusipo kua makini hili swala litakuja kututokea puani
Mnatumia nguvu nyingi sana kuuficha udhaifu wa 51mba. Hamna timu nyie. Huku kwenye dawa, bahasha, hospitali, kusisimua misuli, refa, sijui wachezaji wenu ni mamluki, NI KUJARIBU KUKIMBIA KIVULI CHENU.Sawaaa. Kwani wewe haujawahi kwenda hospitali wakakupa dawa zaidi ya moja zote utumie kutibu tatizo moja?
Hata bahasha ni dawa. Hujawahi kusikia pesa ni sabuni ya roho?
Yule jamaa aliyetoka asec mimosa asipotumia dawa anakuwa legelege.