Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

Ni kitu kimoja lakini huwa mnataja vyote..!! Ila kwamba mna uwezo mdogo huwa hamsemi.
Sawaaa. Kwani wewe haujawahi kwenda hospitali wakakupa dawa zaidi ya moja zote utumie kutibu tatizo moja?
 
CAF wanaongeza umakini katika matumizi ya dawa za kusisimua misuli, msijesema hamkuambiwa.
Hizo dawa nadhani makolo ndiyo wanaongoza kutumia, mpaka kocha msaidizi wa makipa alishawahi kudakwa na madawa ya kulevya, timu inaloga mpaka uwanjani huko south itashindwa kutumia madawà?
 
Hivi huwa mnawaona wachezaji wa Yanga wanavyofanya mazoezi binafsi? Muulizeni Samantha au Mohamed hussein umuhimu wake. Sio wachezaji muda wote wako buguruni na Riverside
Huyo Kapombe anapiga ulabu balaa kila jioni tunashinda naye hapa kijiweni
 
Hao jamaa Wana kiwewe.. Mpira una matokeo matatu.
1. Suluhu
2. Kufungwa
3. Kufunga

Eti wao wanadai hawana Suluhu au kufungwa kwenye timu yao, ngoja tuone.
Nani kasema hatufungwi? Algeria tulipigwa 3, Misri tukafungwa 1 na al ahly, FC Augsburg walitupiga na yote tukakubali maisha yakaendelea😀 nyie mnaojiita majayanti ndiyo hamtaki kukubali mmeshakufa kisoka Tanzania na Afrika, na huko shirikisho mpambane sana
 
Watabondwa tu hao makolo, hamna timu pale lile ni kosi la wahuni waliokusanywa toka pande mbalimbali za Africa.
 
Hakikisheni wachezaji wenu wanakula vizuri na kufanya mazoezi yanayotakiwa. Uwanjani sio sehemu ya ngojera
 
Yanga si wachawi ngoja siku ya derby watapigwa faini ya kupita mlango tofauti na wakianza wanatoa mpira nje yanga wanafuata masharti ya waganga simba wanacheza professional football.
 
Mashabiki wa Yanga wengi akili zenu zipo pale ulipo mwiko wenu...
Mganga kawaambia wasiongee na siku ya mechi wasipitie getini na wakianza wapige mpira nje ila yanga.
 
Mimi ni Yanga ila ninachojua mimi ni kwamba wachezaji wetu hua wanatumia dawa za kusisimua misuli na tusipo kua makini hili swala litakuja kututokea puani
Yule jamaa aliyetoka asec mimosa asipotumia dawa anakuwa legelege.
 
Sawaaa. Kwani wewe haujawahi kwenda hospitali wakakupa dawa zaidi ya moja zote utumie kutibu tatizo moja?
Mnatumia nguvu nyingi sana kuuficha udhaifu wa 51mba. Hamna timu nyie. Huku kwenye dawa, bahasha, hospitali, kusisimua misuli, refa, sijui wachezaji wenu ni mamluki, NI KUJARIBU KUKIMBIA KIVULI CHENU.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…