Baada ya mchezo na Singida BS wanaume kimya kimya wakajifungia Avic town walipoibuka ikawa vilio kila kona

Dar Young Africans Champions......na wavimbe wapasuke...........unachokiombea naona huko kwa makolowizard ndo mnachopitia kwa sasa
 
Mnatumia nguvu nyingi sana kuuficha udhaifu wa 51mba. Hamna timu nyie. Huku kwenye dawa, bahasha, hospitali, kusisimua misuli, refa, sijui wachezaji wenu ni mamluki, NI KUJARIBU KUKIMBIA KIVULI CHENU.

View attachment 3120468
Mbona Yanga mnapenda sana kuweka vitu nyuma? Kwanza mwiko na sasa mnaweka hadi matatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…