Pre GE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
these are political dynamics, hutokea na lazma tukubali yametokea na kujiandaa kutokea zaidi na zaidi....

na by the way,
siasa hatustaafu tunapumzika tu πŸ’
 
Mimi sikioni alichokifuata ccm msigwa maana yeye mwenyewe ameeleza kwamba kama ambavyo walikuwa wakiisema ccm na kuikosoa kwa mambo mengi kumbe ndani ya chadema na wawo wanayo ndio maana amehama, mimi nadhan ni kuwakomoa kina Mbowe tu na wenzake ni hasira zimemjaa sana lakini akili yake ikampa kupoza kwake ni kwenda ccm, si dhani kama msigwa amepokea hela kujiunga na ccm labda awe ameahidiwa cheo. Msigwa ni mtu madhubuti sana chadema imekwisha
 
nadhani push factors kutoka chadema zimemforce msigwa kuondoka, na sio pull factors kutoka CCM πŸ’
 
these are political dynamics, hutokea na lazma tukubali yametokea na kujiandaa kutokea zaidi na zaidi....

na by the way,
siasa hatustaafu tunapumzika tu πŸ’
Tanzania hakuna tena upinzani labda sasa ni Institution tu watu walio juu wapate rizki zao na familia zao, Tanzania kunahitajika mapinduzi mpaya kwa vyama vya upinzani vilivyo madhubuti sio kwa vyama vyetu hivi vya upinzani tulivyonavyo.

Msigwa atawagawa sana chadema kwenye kampeni za ccm na chadema hawatachomoka, Mbowe amefanya kosa kubwa sana na wenzake kutokuelewana na msigwa. a big blow
 
Upinzani ni kama Ideology fulani 😳
Huwa watu wanakufa na wengine huwa wanahama lakini ideology hubaki pale pale na huimarika zaidi kadri inavyopata misukosuko mingi ndivyo inavyokuwa imara zaidi πŸ˜³πŸ˜…πŸ€ πŸ‘
 
Naelewa ila tu, nawakumbusha hawa vichwa tupu. Wajue tu kuanzia sasa mpaka 2050 hiko kichama uchwara, hakitakuwepo.
Ramli kwenye siasa zinamake sense kweli bila kujipanga ladies and gentlemen?🀣

acheni maskhara kwenye taaluma za watu kwa mihemko πŸ’
 
 

Attachments

  • 5757228-2d34d6c66ed94e4c5aaaed0c01398d55.mov
    1.4 MB
licha ya kua tuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 humu nchini, na hii kuonyesha kwamba demokrasia ya vyama vingi imeshamiri Tanzania...

changamoto kubwa miongoni mwa vyama vya kisiasa hususan vyenye wanachama wengi ni kujipa umuhimu na haki zaidi ya kuvidharau vyama vidogo kitu ambacho kimejenga chuki na uhasama baina yao kukua zaidi....

vyama vidogo havikui na vyama vikubwa navyo havikui, ni kelele tupu..

utashi wa kisiasa umekosekana kabisaa upinzan, hawaaminiani, hawapendani na hawasaidiani kwa chochote. hakuna mahali wanaenda πŸ’
 
Fweza fwezeha πŸ˜³πŸ™„πŸ™Œ
Waswahili Wanasemaga
Mtu akikaa miaka kadhaa nje ya ulingo unategemea atakula nini πŸ˜… ???

Hakuna baunza wa njaa ! Tusidanganyane !
Iko vile ndugu zanguni πŸ˜…πŸ€ 
 
Fweza fwezeha πŸ˜³πŸ™„πŸ™Œ
Waswahili Wanasemaga
Mtu akikaa miaka kadhaa nje ya ulingo unategemea atakula nini πŸ˜… ???

Hakuna baunza wa njaa ! Tusidanganyane !
Iko vile ndugu zanguni πŸ˜…πŸ€ 
Sio kwa msigwa, It's deferent
Chadema wamemuuzia sana msigwa
Msigwa ataivuruga zaidi chadema yeye ndo atakuwa spiker kwenye kampeni za ccm
 
Upinzani ni kama Ideology fulani 😳
Huwa watu wanakufa na wengine huwa wanahama lakini ideology hubaki pale pale na huimarika zaidi kadri inavyopata misukosuko mingi ndivyo inavyokuwa imara zaidi πŸ˜³πŸ˜…πŸ€ πŸ‘
gentleman,
kwani siasa za vyama vingi maana yake ni nini?

chama kimoja kikishinda uchaguzi vingine vinakua nini?
there is nothing new, wengine wanabaki ni wapinzani tu, labda umevutiwa na neno ideology tu kitu ambacho kilia chama kila serikali duniani zina administrative Ideologies zao kama ndio utaratibu wa uongozi wao πŸ’

kwa mfano huenda msigwa na waandamizi wenzake wametofautiana administrative ideologies wanapofanya chaguzi ndani ya chama chao πŸ’
 
CHADEMA ILIWAHI KUONDOKEWA NA MAKATIBU WAKE WAKUU Dr. KABOUR ikaendelea kuchanja mbuga. Aliondoka tena Dr. Mashinji katibu Mkuu bado ikaendelea kuchanja mbuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…