Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #101
wananchi kuhama vyama ni kuongezeka uelewa na ufahamu wa sera, itikadi na malengo ya chama husika, na matokeo yake kugundua kwamba aliko sio mahali sahihi, na hatimae baada ya kuona na kubaini palipo sahihi kwake, hutumia uhuru na haki yake ya msingi kuhamia alikoona ni sahihi πHii inadhihirisha ule usemi kwamba hivi vyama vyote vya Siasa vipo kwa ajili ya Viongozi wake kujineemesha tu wao na watu wao wa karibu kama akina fulani na fulani waliomo humu jf pia π³ππ€ π
Ukiona mihemko na mipovu humu jf ujue ndio wenyewe hao wenye vyama vyao π³
Nchi inajengwa na wenye Moyo na inaliwa na wenye Meno π³πβοΈ
ndio Demokrasia ilivyo, Lakini sio kuweweseka kwamba hivi au vile. mTanzania yeyote anaruhusiwa kuanzisha au kujiunga na chama chochote, whether mwingine hapendi au anapenda π
