Pre GE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alitoka GAUCHO Minjino ,Akatoka MASHINJI ,Akatoka Dr Slaa ,wakatoka kibao Silinde,Dogo Janja ,Lijua Libutu etc lakini chama bado kipo imara...Chama sio MTU.
kwani wew ulitaka kifanyaje baada ya wengine kutoka chamani? πŸ’
 
Aimen apostle πŸ’
 
Kwa nini Chadema wao wasipenyeze pesa huko CCM? 🀣🀣
 
#Kataamachawanivichaa
#kataachamachamambuzi
#chamachamambuzihakitakuwepo2050
Kumbe sio 2025 tena? 😁😁😁

Mumekata tamaa,umebakia wewe tuu Kufuata chako mapema huko ccm vinginevyo huko kwenye saccos ya Mbowe utakufa njaa na stress tuu 🀣🀣
 
Hebu tuleteeni maji safi vijijini si tunalipa kodi, afu masuala ya kumnunua Msigwa mnafikiri mtaiua CDM, wapi Dr. Slaa hamkujifunza.
 
Kumbe sio 2025 tena? 😁😁😁

Mumekata tamaa,umebakia wewe tuu Kufuata chako mapema huko ccm vinginevyo huko kwenye saccos ya Mbowe utakufa njaa na stress tuu 🀣🀣
MImi mbona sina chama! Sina kadi ya chama chochote. Sifungamani popote. Ila hata kama kungekuwa na ulazima wa kuwa na chama. Abadani nisingeweza kuwa ccm kamwe. Miye ni muumini wa haki sawa, Elimu bora na maisha bora kwa kila mtu. N.k...
ChoiceVariable
 
si kweli kwamba hufungamani popote binti wa kibantu,

ni wazi umefungamana na mihemko lakini pia na ile familia ya gubu na ghagabu..

na halafu mnafanana kweli
hadi tones, body languages on article writtings, comments, styles of reply and hashatags n.k...

unapata wapi nguvu na ujasiri wa kupotosha hadharani namna hiyo, kwamba huna chama?
 
Na mwanzo mwa hotuba yake ya kujitambulisha akapelekewa na kimemo kinachomfahamisha kwamba ameingia Chama ambacho anatakiwa aseme kile wakubwa wanataka kukisikia sio alete zake za kuleta πŸ˜³πŸ™„πŸ€ πŸ˜…
 
Kwa Kwani tangu wameanza kuondoka zitto na kitila umeshawahi kusikia chadema imeyumba zaidi ya kuimalika!!
 
Mwanasiasa akihama chama isiwe agenda ni kawaida tu kama mfanyakazi kutoka NBC kwenda NMB au Vodacom kwenda Airtel cha msingi kuzingatia MAOKOTO.
Hii inadhihirisha ule usemi kwamba hivi vyama vyote vya Siasa vipo kwa ajili ya Viongozi wake kujineemesha tu wao na watu wao wa karibu kama akina fulani na fulani waliomo humu jf pia πŸ˜³πŸ™„πŸ€ πŸ™Œ
Ukiona mihemko na mipovu humu jf ujue ndio wenyewe hao wenye vyama vyao 😳

Nchi inajengwa na wenye Moyo na inaliwa na wenye Meno πŸ˜³πŸ™„β­•οΈ
 
Kwa
Kwani tangu wameanza kuondoka zitto na kitila umeshawahi kusikia chadema imeyumba zaidi ya kuimalika!!
kwasababu gani iyumbe au iimarike?πŸ’
 
Msigwa kuhamia CCM hata mheshimiwa Msukuma Kuna kipindi aliwahi kusema haitafika 2025 ,Msigwa atakuwa amehama chama hicho.
 
Mbowe
 
Anguko la Msigwa wala halipo mbali kwanza kama umemfatilia hata body language yake jamaa yupo remorseful ila anajikaza tu.. Roho inamsuta sana kwa alichokifanya na hapo CCM watamchezea mchezo Sababu nao wana mashaka nae vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…