Baada ya Mdau wa JF kuomba msaada Mgonjwa wake afanyiwe upasuaji, MOI yatoa ufafanuzi na maelekezo

Hii mambo ya ustawi wa jamii, sijui msamaha wa matibabu kwa wagonjwa umekaa siasa nyingi
Back in those days nikiwa hospital moja hapa nchini (jina kapuni ), aliletwa dada mmoja na wasamaria wema, yule dada alikuwa mhudumu wa bar (barmaid) ambae baada ya kumsikiliza maelezo yake ni kwamba alijisikia kuumwa, akamuomba boss wake amsaidie pesa aende hospital, lakini hakupewa. Hyo siku akiwa anarudi home akaanguka na kupoteza fahamu Hadi alioojikuta hospital
Hospital ilifanya mawasiliano na ndugy zake, wa karibu alikuwa bibi ake aliyekuwa mkoani huko nae akasema Huwa anamtegemea Binti ili kuilisha familia hvyo Hana Cha kufanya.
Utaratibu wa kupata kibali Sasa kutoka ustawi wa jamii, ulichukua zaidi ya wiki nzima. Hapo Binti Hana sawa, chakula, madaktari wakifika wanakipita kitanda chake
Hadi anakuja kupata kibali, ni ameteseka vya kutosha

Kwahyo...nakubaliana na ww kwamba Kuna siasa nyingi sana and they are so selective kwa watu wa kuwasaidiaa

Kikubwa, tutafute pesa na tutunze afya zetu tu.
Hospital nyingi zipo kwenye biashara
Hii ni hospitali gani ambayo Afisa Ustawi alichelewesha kibali na matibabu kwa mgonjwa yalisimama kisa huyu Afisa hajatoa kibali kwa wakati?

Kuna uwezekano mkubwa mgonjwa alifika ila taarifa kumfikia Afisa Ustawi ilichelewa. Kwa kawaida ikitokea mgonjwa wa hivi incharge wa ward huwasiliana na Afisa Ustawi na kwa sehemu nilizopita mawasiliano hufanywa huku huduma inaendelea. Kwahiyo hata Afisa Ustawi akijivuta kutoa kibali mgonjwa anakua anatibiwa
 
Hapana mkuu, lakini maranyingi tunafanya kwa kiwango tunacho weza kama sadaka tu

Kipindi flani nilijifungua muhimbili hapo
Wakati naenda kulipa bill nilikutana na mama aisee amekaa kama week 2 anahustle vibaya mno hela amepata ila imepelea laki 2 arobaini.hakuna hata ndugu anapokea hata simu
Hapo bado ana mtoto mgonjwa .bahati nzuri nilikuwa nimevunja vicoba nikafunga moyo nikalipa. .halafu utasikia wajawazito kujifungua bure mwee thubutuuu.
Ila sadaka ya kweli Mungu anakuonekania yaani nilikuwa na shida nyingi that time ila Mungu alinivusha.
 
Samahani kwa Kusema Hivi!

Ila hadithi yako ni ya Kutengeneza, Ustawi wa Jamii ni kitendo Kilicho chini ya Idara ya Afya na Muhusika Mkuu wa Ustawi wa Jamii kwa Hospitali za Mikoa ni RMO na kwa Hospitali zilizo chini ya Wilaya Ni DMO na kwa Hospitali Za kanda Taifa na Taasisi Kuna wakurugenzi Wa Hospitali Husika..

Na Kitengo cha Ustawi wa Jamii Kipo sambamba na Kitengo cha Uhasibu kwa hiyo ulichokisema Ni cha kufikirika..

Hakuna Daktari ambaye atapendezwa Kumpita Mgonjwa Kwa zaidi ya Siku mbili bila Kumpa Matibabu HAKUNA, HAKUNA
 
Hii ni hospitali gani ambayo Afisa Ustawi alichelewesha kibali na matibabu kwa mgonjwa yalisimama kisa huyu Afisa hajatoa kibali kwa wakati?

Kuna uwezekano mkubwa mgonjwa alifika ila taarifa kumfikia Afisa Ustawi ilichelewa. Kwa kawaida ikitokea mgonjwa wa hivi incharge wa ward huwasiliana na Afisa Ustawi na kwa sehemu nilizopita mawasiliano hufanywa huku huduma inaendelea. Kwahiyo hata Afisa Ustawi akijivuta kutoa kibali mgonjwa anakua anatibiwa
Ustawi wale navoona wanakusaidia mwishoni saana saana .sio rahisi hivo niloshaona.tena kwa wamama wamejifungua watoto wenye changamoto .nilishangaa Sana.
 
Samahani kwa Kusema Hivi!

Ila hadithi yako ni ya Kutengeneza, Ustawi wa Jamii ni kitendo Kilicho chini ya Idara ya Afya na Muhusika Mkuu wa Ustawi wa Jamii kwa Hospitali za Mikoa ni RMO na kwa Hospitali zilizo chini ya Wilaya Ni DMO na kwa Hospitali Za kanda Taifa na Taasisi Kuna wakurugenzi Wa Hospitali Husika..

Na Kitengo cha Ustawi wa Jamii Kipo sambamba na Kitengo cha Uhasibu kwa hiyo ulichokisema Ni cha kufikirika..

Hakuna Daktari ambaye atapendezwa Kumpita Mgonjwa Kwa zaidi ya Siku mbili bila Kumpa Matibabu HAKUNA, HAKUNA
Inawezekana mkuu.
 
Haiwezekani mgonjwa kupitwa hata kidogo hata kama akitukana watu wote humo ndani.
 
Inawezekana mkuu.
Inawezekana Ila Ni nadra sana maana Siku hizi Ustawi wa Jamii zimewekwa kabisa Mapokezi na Kwa Muhasibu ili iwe Rahisi Kuwafikia watu wote..

Kwa zamani ni Kweli maana Ilikuwa Kupata Msamaha wa Matibabu ni Changamoto kidogo ila kwa siku hizi Mmh mtu akiniambia Ustawi wamechukua Zaidi ya Wiki kumsaidia napata mashaka kidogo..

Maana Kuna Temporaly Exemption zinatolewa Sana kwa wagonjwa wasio na Pesa na Pia Zingine ni Suspended Exemption huwa napenda Kuziita hivyo yaani Unatibiwa Then Huku unajaza Form ya Ahadi ya Malipo Hizi mbona Zipo sana Hospitali labda mtu anitajie Hospitali aliyotibiwa Na hakupata Hiyo Huduma Nitamuelewa
 
Ustawi wale navoona wanakusaidia mwishoni saana saana .sio rahisi hivo niloshaona.tena kwa wamama wamejifungua watoto wenye changamoto .nilishangaa Sana.
Katika kitu nimeona ni kwamba hospital zilizopo kwenye majiji makubwa huduma ya ustawi ni kama haipo wazi. Hii inasababisha hata ndugu wakikwama wasijue wanaenda wapi.

Mambo yakiwa hovyo kabisa utakuta ndiyo wanagewa taarifa na wahusika wa wodi. So ni ishu ya taarifa kuchelewa kumfikia Afisa kuliko kusema anajivuta.
 
Sawa daktari atakuona.je atakupa dawa? Maana si anaandika kwenye file? Hizo dawa zitatolewa? Kama file halieleweki?
Daktari hatoi dawa, anaandika dawa pharmacist ndiye atatoa dawa.

Kwenye kila wodi anakuepo incharge wa wodi.

Huyu incharge wa wodi anakua anajua ana wagonjwa wangapi na changamoto ni ipi kwa kila mgonjwa. Pia hua anahimizia daktari kupita round na kumshauri juu ya hali ya mgonjwa.

Kwahiyo hata daktari akiamua kufanya uhuni wa kuandika vitu havieleweki huyu incharge ataona na atamuuliza akitoa majibu ya hovyo ataripotiwa kwa patron au Medical Officer Incharge (Mkuu wa Hospital)

Labda kama incharge na daktari wote lengo liwe moja
 
Katika kitu nimeona ni kwamba hospital zilizopo kwenye majiji makubwa huduma ya ustawi ni kama haipo wazi. Hii inasababisha hata ndugu wakikwama wasijue wanaenda wapi.

Mambo yakiwa hovyo kabisa utakuta ndiyo wanagewa taarifa na wahusika wa wodi. So ni ishu ya taarifa kuchelewa kumfikia Afisa kuliko kusema anajivuta.
100%
Sure..
 
Daktari hatoi dawa, anaandika dawa pharmacist ndiye atatoa dawa.

Kwenye kila wodi anakuepo incharge wa wodi.

Huyu incharge wa wodi anakua anajua ana wagonjwa wangapi na changamoto ni ipi kwa kila mgonjwa. Pia hua anahimizia daktari kupita round na kumshauri juu ya hali ya mgonjwa.

Kwahiyo hata daktari akiamua kufanya uhuni wa kuandika vitu havieleweki huyu incharge ataona na atamuuliza akitoa majibu ya hovyo ataripotiwa kwa patron au Medical Officer Incharge (Mkuu wa Hospital)

Labda kama incharge na daktari wote lengo liwe moja
Napenda Sana Unatoa Majibu Mazuri na Kueleweka Kabisa..

WAtu wengi wanaumia kwa kukosa Elimu yao na Haki kama Mgonjwa kulingana na Mkataba wa Huduma Kwa Wateja..Haki za Mgonjwa,Wajibu wa Mgonjwa, Haki za Mtumishi na Wajibu wa Mtumishi wa Afya Unafahamika..

Endapo Utaona Haki haitendeki au wajibu haufuatwi ni wajibu wako kutoa Taarifa kwa Uongozi na hata Namba siku hizi Mnapewa
 
Kipindi flani nilijifungua muhimbili hapo
Wakati naenda kulipa bill nilikutana na mama aisee amekaa kama week 2 anahustle vibaya mno hela amepata ila imepelea laki 2 arobaini.hakuna hata ndugu anapokea hata simu
Hapo bado ana mtoto mgonjwa .bahati nzuri nilikuwa nimevunja vicoba nikafunga moyo nikalipa. .halafu utasikia wajawazito kujifungua bure mwee thubutuuu.
Ila sadaka ya kweli Mungu anakuonekania yaani nilikuwa na shida nyingi that time ila Mungu alinivusha.
Nice
 
Back
Top Bottom