mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 394
Na hapo mgonjwa anaweza ambiwa kibali kinatolewa kw mgongwa wa dharulaHii mambo ya ustawi wa jamii, sijui msamaha wa matibabu kwa wagonjwa umekaa siasa nyingi
Back in those days nikiwa hospital moja hapa nchini (jina kapuni ), aliletwa dada mmoja na wasamaria wema, yule dada alikuwa mhudumu wa bar (barmaid) ambae baada ya kumsikiliza maelezo yake ni kwamba alijisikia kuumwa, akamuomba boss wake amsaidie pesa aende hospital, lakini hakupewa. Hyo siku akiwa anarudi home akaanguka na kupoteza fahamu Hadi alioojikuta hospital
Hospital ilifanya mawasiliano na ndugy zake, wa karibu alikuwa bibi ake aliyekuwa mkoani huko nae akasema Huwa anamtegemea Binti ili kuilisha familia hvyo Hana Cha kufanya.
Utaratibu wa kupata kibali Sasa kutoka ustawi wa jamii, ulichukua zaidi ya wiki nzima. Hapo Binti Hana sawa, chakula, madaktari wakifika wanakipita kitanda chake
Hadi anakuja kupata kibali, ni ameteseka vya kutosha
Kwahyo...nakubaliana na ww kwamba Kuna siasa nyingi sana and they are so selective kwa watu wa kuwasaidiaa
Kikubwa, tutafute pesa na tutunze afya zetu tu.
Hospital nyingi zipo kwenye biashara
Yaan siasa nyingi sana