Baada ya Mdau wa JF kuomba msaada Mgonjwa wake afanyiwe upasuaji, MOI yatoa ufafanuzi na maelekezo

Na hapo mgonjwa anaweza ambiwa kibali kinatolewa kw mgongwa wa dharula
Yaan siasa nyingi sana
 
Umejibu vema kabisa daktari hatoi dawa.
Kwaiyo unaona kabisa mgonjwa anavokosa huduma. Maana pharmacy atatoa dawa bila malipo?
 
Hasa hosptal kubwa.labda wahitaji ni wengi .halafu gharama za matibabu zimepanda Sana hata kama Una bima sijui ni kwanini yaani
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Huyo alietoa hayo majibu anatufanya watu hatujauguza hapo MOI?
 
Umejibu vema kabisa daktari hatoi dawa.
Kwaiyo unaona kabisa mgonjwa anavokosa huduma. Maana pharmacy atatoa dawa bila malipo?
Ndiyo atatoa.

Hapo sasa ndiyo Afisa Ustawi anaingia kwenye picha.

Kabla sijaelezea zaidi nakupa mfano. Imetokea ajali ameletwa majeruhi hatagewa dawa kwakua hana pesa?

Kuna aina mbili za misamaha kuna msamaha wa kudumu na wa muda. Huu wa kudumu ni kwa yeyote ambaye ameainishwa na sera hapa tunamaanisha watoto chini ya miaka 5, wazee kuanzia miaka 60, wajawazito, wagonjwa wa magonjwa ya kudumu,

Anapotokea ambaye hayupo kwenye kundi hilo hapo sasa ndiyo inabidi msamaha wa muda uwe issued. Hapa itaangaliwa ambacho mgonjwa hawezi kukimudu kisha Afisa atatoa kibali cha msamaha ambacho mgonjwa ataenda nacho duka la dawa (pharmacy) na pharmacist atampa dawa.

Shida ni "Je, Afisa Ustawi atapata taarifa kwa wakati?"
 
Hasa hosptal kubwa.labda wahitaji ni wengi .halafu gharama za matibabu zimepanda Sana hata kama Una bima sijui ni kwanini yaani
Hili la gharama siwezi kulisemea sina uelewa nalo
 
Sasa hapo naona nawe umeelewa.afisa ustawi Hadi atoe idhini inachukua muda.hadi ndugu wahangaike.kama hivi aliekuja jf.
 
yani ustawi kiukweli dr gwajima inabidi muangalie kanuni zenu na mpange utaratibu na makubaliano mazuri na wizara ya Afya aisee

kuna mgonjwa aliniomba nimsaidie ndugu yake ni mgojwa wapo hapo.temeke, anatakiwa afanyuwe mazoezi ya viungo ya miguu. Hawana pesa, waneenda ustawi wapewe kibali cha mazoezi cha mwezi mmoja tu, ustawi wakaagree wakampa document akifika physiotherapy anafanyiwa bure, just 1 month, akasema wamefika physiotherapy wakakataliwa kabisa na kusema issue za ustawi hawazipokei, basi ikabidi nimsaidie na mgonjwa kweli kapona after 1 month,

yaani siasa ni nyibgi sana, ukienda wanakukataa na vielelezo vyote kuonesha huna uwezo unavyo, stupid[emoji34]
 
Next time, Afisa Ustawi kapitisha ila kitengo kingine wamegoma rudi kwa Afisa.

Hana msaada panda hadi kwa MOI, haeleweki mtafute DED au DC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…