Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Hizi ni hujuma na rushwa za waziwazi wameona mechi dhidi ya Yanga imekaribia ndo wameamua kuufungia Uwanja, cha Ajabu Mzunguko wa kwanza wote Tabora wamecheza pale mechi zao zote na huu mzunguko wa pili na Leo hii umetumika
Tff wanajiaibisha sana Anguko la Karia litakua la aibu sana (GSM) anamwaga pesa tu
Ila huko Kimataifa mtakua mnaishia makundi mpaka akili ziwakae sawa mrudi kwenye misingi ya soka
Tff wanajiaibisha sana Anguko la Karia litakua la aibu sana (GSM) anamwaga pesa tu
Ila huko Kimataifa mtakua mnaishia makundi mpaka akili ziwakae sawa mrudi kwenye misingi ya soka