Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwani kanuni za TFF zinasemaje ikibainika uwanja umekosa vigezo vya kuchezea?Hizi ni hujuma na rushwa za waziwazi wameona mechi dhidi ya Yanga imekaribia ndo wameamua kuufungia Uwanja, cha Ajabu Mzunguko wa kwanza wote Tabora wamecheza pale mechi zao zote na huu mzunguko wa pili na Leo hii umetumika
Tff wanajiaibisha sana Anguko la Karia litakua la aibu sana (GSM) anamwaga pesa tu
Ila huko Kimataifa mtakua mnaishia makundi mpaka akili ziwakae sawa mrudi kwenye misingi ya sokaView attachment 3253275
Baadhi ya mashabiki wenzako ambao siyo mbumbumbu, watakuwa wanajisikia vibaya sana kuwekwa kundi moja na watu wa aina yako na ambao wanaongozwa zaidi na hisia (mihemko), kuliko uhalisia.