Baada ya mechi ya Tabora na Yanga kukaribia TFF waufungia Uwanja waAlly Hasani Mwinyi uliokua unatumiwa na Tabora United

Nyie Mbumbumbu fc tulizeni akili kidogo, Yanga amefungwa na Tabora DSM Chamazi atashindwa vipi kucheza na Yanga Mkoa mwingine ambao wataona utawasaidia wao Tabora kupata matokeo?

Tabora wana nafasi ya kuchagua pakuchezwa mechi yao dhidi ya Yanga.
 
bado kabisa hujasema,ndo kwaaanza kumekucha!!!
 
Uwanja huwa unacheza namba ngapi uwanjani?
 
Vipi ungefungiwa baada ya yanga kucheza nao ungekuja na hoja gani
 
Waje Chamanzi tulipe deni letu na tuwape Cha juu pia
 
Kimataifa ww Una kipi cha kuwanyoooshea kidole TFF
 
Kaka kuna starehe zaidi ya mpira... endelea hata na mbususu. Maana umeandika kwa kuumia sana moyo. Kwa hiyo hata uwanja kua na mashimo mashimo baada ya kuchezewa muda mrefu bila marekebisho sababu ni GSM??😃😃.... Aseee daaah!!!

Barua wandike TFF shutuma apewe Ghalib... Ukiona wakati akiwapa rushwa??? Sasa na Mo si ni bilionea na yeye akawape rushwa TFF ili tarehe nane Yanga asiwapige goli nyingi za mabango...

Gademningo!!!
 
Kwa akili hizi mtaendelea kuaibika sana kolo fans. Nyie kila kitu mnalia lia tu bila kushirikisha ubongo wenu. Mechi ya Tabora itachezwa mwezi wa 4 sasa hapa katikati hakikisheni mnaurekebisha ili mechi ichezwe hapohapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…