Baada ya mechi ya Tabora na Yanga kukaribia TFF waufungia Uwanja waAlly Hasani Mwinyi uliokua unatumiwa na Tabora United

Kwani kanuni za TFF zinasemaje ikibainika uwanja umekosa vigezo vya kuchezea?

Baadhi ya mashabiki wenzako ambao siyo mbumbumbu, watakuwa wanajisikia vibaya sana kuwekwa kundi moja na watu wa aina yako na ambao wanaongozwa zaidi na hisia (mihemko), kuliko uhalisia.
 
H
Hii kulalamika lalamika ni moja ya ishara ya changamoto ya afya ya akili!
 
Sasa wewe unawapangia namna ya kufanya kazi? Kwamba wewe uwa unapangiwa na mtu namna ya kuendesha familia yako?
Siku zote walikua hawaioni kama walikua wanaiona walikua wapi kuifingia?
 
Siku zote walikua hawaioni kama walikua wanaiona walikua wapi kuifingia?
Wewe jamaa una akili ndogo sana. Coastal union wapo Arusha kwa mudq sasa kisa uwanja ulishawahi kulalamika? Simba mwaka jana walifungwa na prison Jamhuri ulilalamika?
Ulitaka wacheze kwenye kiwanja kibovu ili ufurahi wewe na wajinga wenzio?
Alili hizi nchi hii ina wajinga na mbumbu wengi sana wasiojua kitu
 
Coastal Union imedhaminiwa na GSM, juzi wameomba mechi yao na Simba ipelekwe Mkwakwani Tanga. TFF wamewakatalia na kuwaambia mechi itachezwa Arusha, hamkusema TFF imehongwa.
Mkwakwani wakafanye nini si walitaka wenyewe Arusha? Uwe uwanja wa home..shida Tabora hawajataka kuondoka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…