Baada ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Tanzania hawajui mpira kabisa

Baada ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Tanzania hawajui mpira kabisa

Kufungwa kwa Brazil,haitusaidii sisi aisee ,maana Brazil wakirudiana nao Brazil wanauwakika watashinda sisi hata tukirudiana nao bado tutafungwa tu mpaka tukome.
Maana yake Morocco ni timu nzuri,ilifika nusu final kombe la dunia,na hii afcon watabeba
 
Jana ndio nimeona mpira wa Kisukuma baada ya miaka mingi kupita ai
Maana yake Morocco ni timu nzuri,ilifika nusu final kombe la dunia,na hii afcon watabeba
Kuna kipindi tukiwa afcon na algeria na Senegal kundi moja na sisi pia tukawatunasema tutavuka hilo kundi,algeria na Senegal ndio waliocheza fainali kwenye afcon hiyo.
 
Back
Top Bottom