Baada ya mfupa wa "no reform, no election" kuwa mgumu kutekelezeka, wanaCHADEMA tumeamua kubeba ajenda za wana CCM

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.

Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya mjadala, maana hata sasa hivi tunajadili namna ya kuifanya CCM iwe bora zaidi ili iendelee kubaki madarakani, na hata kushauri namna ya kupata mgombea wa CCM
 
Adui wa adui yako ni rafiki yako

Sasa hivi tumewaacha mmalizane wenyewe sisi tukija tunapiga pigo la ushindi. Hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe lingine.
 
Katika historia ya siasa za Tanzania. Mbinu za Kikwete hazijawahi kumshinda Lisu. Imetokea na mwaka huu itatokea tena
 
Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.

Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya mjadala, maana hata sasa hivi tunajadili namna ya kuifanya CCM iwe bora zaidi ili iendelee kubaki madarakani, na hata kushauri namna ya kupata mgombea wa CCM
Ila CHADEMA wengi wanaamini bila CCM imara itayumba ndo maana kwa sasa wako bize kuhakikisha CCM haipitishi majina ya wagombea wasio na sifa kwenye ubunge na udiwani. Hata hii ishu ya Polepole ingawa ni ya wanaCCM ila wao ndo wako mstari wa mbele kuongelea.
 
Tangu lini wewe kinembe ukawa mwanachadema
 
Ila CHADEMA wengi wanaamini bila CCM imara itayumba ndo maana kwa sasa wako bize kuhakikisha CCM haipitishi majina ya wagombea wasio na sifa kwenye ubunge na udiwani. Hata hii ishu ya Polepole ingawa ni ya wanaCCM ila wao ndo wako mstari wa mbele kuongelea.
Huu ni ukweli kabisa tunataka CCM imara.
Kwanza ili taifa lisonge mbele, pili ilitushinda kwa hoja na sio mitutu ya bunduki
 
Kama vijana wengi ni wajinga kama mtoa mada ni ngumu Sana kupata maendeleo
 
Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.

Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya mjadala, maana hata sasa hivi tunajadili namna ya kuifanya CCM iwe bora zaidi ili iendelee kubaki madarakani, na hata kushauri namna ya kupata mgombea wa CCM
No Reforms No Election, hatupigi kura ng'oo.
 
Kinembe a.k.a clitoris kwenye ubora wako
 
Wewe mgogo hu mpuuzi ,na hujui dunia, elewa nchi hii siyo ccm peke yenu, bali ni watu wate ,wenye vyama na wasiokua na vyma , ni kwa bahati mbaya sana mnajisahau kwamba kwa kua Rais ametokana na chama cha ccm, maana tz hatuna sheria ya mgombea binfsi, basi wajinga wachache mwaona ni wa ccm.

Rais yoyote apatiwapo na mamlaka ya wana nchi sio wa chama chochote kilichomuweka madarakani bali ni wa wananchi wote , that's watz wanataka reforms

, Na hata zikiwepo sio lazima Rais wa nchi apigiwe na kura na watanzania wote ila kama uchaguzi ni fair kuazia tume ,kanuni na sheria zilizotumika mpata uyo Mwakilishi wa wananchi anzia kata mpaka taifa ,nani atalalamika?
 
Back
Top Bottom