Ficha ujinga na weweIla CHADEMA wengi wanaamini bila CCM imara itayumba ndo maana kwa sasa wako bize kuhakikisha CCM haipitishi majina ya wagombea wasio na sifa kwenye ubunge na udiwani. Hata hii ishu ya Polepole ingawa ni ya wanaCCM ila wao ndo wako mstari wa mbele kuongelea.
Sahihi kabisaIla CHADEMA wengi wanaamini bila CCM imara itayumba ndo maana kwa sasa wako bize kuhakikisha CCM haipitishi majina ya wagombea wasio na sifa kwenye ubunge na udiwani. Hata hii ishu ya Polepole ingawa ni ya wanaCCM ila wao ndo wako mstari wa mbele kuongelea.