Ukihitajika utaitwa.Kwa kweli, maana nilipata division 4
Una hela?Mimi natumia wine
Una shi'ngapi?Nimevuka level ya kuwa na "HELA", Mimi nina " FEDHA"
Ila CHADEMA wengi wanaamini bila CCM imara itayumba ndo maana kwa sasa wako bize kuhakikisha CCM haipitishi majina ya wagombea wasio na sifa kwenye ubunge na udiwani. Hata hii ishu ya Polepole ingawa ni ya wanaCCM ila wao ndo wako mstari wa mbele kuongelea.Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.
Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya mjadala, maana hata sasa hivi tunajadili namna ya kuifanya CCM iwe bora zaidi ili iendelee kubaki madarakani, na hata kushauri namna ya kupata mgombea wa CCM
Tangu lini wewe kinembe ukawa mwanachademaSisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.
Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya mjadala, maana hata sasa hivi tunajadili namna ya kuifanya CCM iwe bora zaidi ili iendelee kubaki madarakani, na hata kushauri namna ya kupata mgombea wa CCM
Huu ni ukweli kabisa tunataka CCM imara.Ila CHADEMA wengi wanaamini bila CCM imara itayumba ndo maana kwa sasa wako bize kuhakikisha CCM haipitishi majina ya wagombea wasio na sifa kwenye ubunge na udiwani. Hata hii ishu ya Polepole ingawa ni ya wanaCCM ila wao ndo wako mstari wa mbele kuongelea.
No Reforms No Election, hatupigi kura ng'oo.Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.
Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya mjadala, maana hata sasa hivi tunajadili namna ya kuifanya CCM iwe bora zaidi ili iendelee kubaki madarakani, na hata kushauri namna ya kupata mgombea wa CCM
Kinembe a.k.a clitoris kwenye ubora wakoSisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.
Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya mjadala, maana hata sasa hivi tunajadili namna ya kuifanya CCM iwe bora zaidi ili iendelee kubaki madarakani, na hata kushauri namna ya kupata mgombea wa CCM
Wewe mgogo hu mpuuzi ,na hujui dunia, elewa nchi hii siyo ccm peke yenu, bali ni watu wate ,wenye vyama na wasiokua na vyma , ni kwa bahati mbaya sana mnajisahau kwamba kwa kua Rais ametokana na chama cha ccm, maana tz hatuna sheria ya mgombea binfsi, basi wajinga wachache mwaona ni wa ccm.Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea.