Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #221
Au Ume pokea mabilioni ya dp, so hutaki tujueππ€£π.Nyie janjaaa sanaa.. baada ya hapo mnaendelea maloveeee kama kawaidaaa.. haya nitawaletea zawadi nzuri sanaaView attachment 2734454
Utakuwa una smoke kinyesi broπ€£ππsi anaitwa Intelligent businessman au kuna mwingine... haya mie niwaache wapendao mfurahi kapenzi kenu kachanga changaaa.. msisahahu kupapalia π π π
Tuendelee kupambania Malengo yetu, meza lazima ipindukee πͺNapigilia msumari chief
Sija watuma haoππ,ila wameona mateso ninayo pitiaππ€£π.We nae umetokea wapi na Id yako ya mchongo π¬π¬
Sio mini bhanaπ€£πKwa nini unajipa tabu ya kubadili id π€·πΌββοΈπ¬ππ
Basi kaishi wewe mkuuπ€£ππBora ujifariji
Kumbe ni wewe nilikuwa sijuiππSio mini bhanaπ€£π
Unapitia mateso gani mkuu?Sija watuma haoππ,ila wameona mateso ninayo pitiaππ€£π.
Cc National Anthem
Ume Anza ukorofii πππ€£π€£Kumbe ni wewe nilikuwa sijuiππ
SI haya ninayo singizwa na National Anthem πUnapitia mateso gani mkuu?
Umewaambia nisingizieniπ¬ππSI haya ninayo singizwa na National Anthem π
Itakuwa nawe una husikaπ€£ππUmewaambia nisingizieniπ¬ππ
It is always seen impossible, till someone gets it done π€Uzuri haya maisha kila mtu huwa anakaa akijua Kuna vitu kamwe hatokuja kuvimiliki mpaka siku anaaga Duniaπ
kwenye maisha hadi nadanja sitoweza miliki manzi JF pamoja dhambi π πUzuri haya maisha kila mtu huwa anakaa akijua Kuna vitu kamwe hatokuja kuvimiliki mpaka siku anaaga Duniaπ
Ngoja nilewe, Nita kucheki nikupe mrejesho wa ile pimbi ya vcπππkwenye maisha hadi nadanja sitoweza miliki manzi JF pamoja dhambi π π
Intelligent businessman na shemegi Nuzulati
Nuzulati nani ana ID 250 humu π π πSija watuma haoππ,ila wameona mateso ninayo pitiaππ€£π.
Cc National Anthem
π π π π π ... ile hamna kitu violence crewNgoja nilewe, Nita kucheki nikupe mrejesho wa ile pimbi ya vcπππ
Nuzulati yuko wapi π πAu Ume pokea mabilioni ya dp, so hutaki tujueππ€£π.
πNdo Mana una ingiza story hiziπ