Baada ya miaka 10 nitaishi kwenye Jumba kama hili

Humu kuna MATAJIRI WAKUBWA, WAFANYABIASHARA NA WENYE MAFANIKIO MAKUBWA NA WALIO KWENYE NJIA ZA KUWA MATAJIRI WAKUBWA NA WATU WA KILA AINA WENYE MAFANIKIO. HAWANA HUO USHAMBA NA MASHAUZI KAMA YAKO.

ACHA KUIGIZA NA HAKUNA MWENYE HASIRA NA WEWE! UNAJULIKANA! ENDELEA KUVUTIA MISHANGAZI YA JF
Kakukosea nini huyu ndugu na mashangazi 🤣🤣
 
hahhahahah mental health is real njoo madagascar upate tiba dah nmesikitika sana dah mpaka naandika kwa kiswahili ndgu yngu hatari 😂😂
 
Kakukosea nini huyu ndugu na mashangazi 🤣🤣
Hawa vijana wakishapata hekari za kukodi na kutuletea mchele uliojaa mawe kutoka Malinyi Ulanga huwaga wanajiona washamaliza. Mashauzi meeengi! Quotes kama zote, kuna hawa walima mpuga na Viazi mbatata na wauza iPhone... mweeehh!

Sasa hayo majumba aliyoweka hapo muulize kazi anayofanya au bishara yake utachoka. Nyumba ambazo wanaweza kumiliki kina Yusuph Bakhresa na Kina Abdiel Mengi na Kina Kikwete JR ndo mpuuzi mmoja wa JF anakuja kujikweza hapa kumbe ana videmu vyake vipiga mzinga anavi-seduce vizidi kumuona yeye mwamba kisa anavinunuliaga Bia.

FALA KABISA!
 
Kwakwer Wacha ni log out sitapaweza🤣🤣
 
Dah una hasiraa za nyoka aise😁🤒🤣, National Anthem njoo uone mapya🤒🤣🤣
 
Back
Top Bottom