Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kakukosea nini huyu ndugu na mashangazi 🤣🤣Humu kuna MATAJIRI WAKUBWA, WAFANYABIASHARA NA WENYE MAFANIKIO MAKUBWA NA WALIO KWENYE NJIA ZA KUWA MATAJIRI WAKUBWA NA WATU WA KILA AINA WENYE MAFANIKIO. HAWANA HUO USHAMBA NA MASHAUZI KAMA YAKO.
ACHA KUIGIZA NA HAKUNA MWENYE HASIRA NA WEWE! UNAJULIKANA! ENDELEA KUVUTIA MISHANGAZI YA JF
wewe na huyo mchuchu wako 😅😅😅😅Nuzulati, National Anthem tuhamie chimbo hili🤗😁
🚴Nuzulati, National Anthem tuhamie chimbo hili🤗😁
Jomba ana jipinda Sana😁🤣🤣, Eti navutia mashangazi 😁🤣🤣Kakukosea nini huyu ndugu na mashangazi 🤣🤣
Sema lugha ime kushinda😁🤣🤣,hahhahahah mental health is real njoo madagascar upate tiba dah nmesikitika sana dah mpaka naandika kwa kiswahili ndgu yngu hatari 😂😂
Hawa vijana wakishapata hekari za kukodi na kutuletea mchele uliojaa mawe kutoka Malinyi Ulanga huwaga wanajiona washamaliza. Mashauzi meeengi! Quotes kama zote, kuna hawa walima mpuga na Viazi mbatata na wauza iPhone... mweeehh!Kakukosea nini huyu ndugu na mashangazi 🤣🤣
Miamala umefanyika kikamilifu 😳😳Kama hivi au sio🤣🤣, mashangazi ndo ma Nini😁🤣
View attachment 2741495
ACHA MAIGIZO! MAISHA HAYO HUNA!Jomba ana jipinda Sana😁🤣🤣, Eti navutia mashangazi 😁🤣🤣
Ni kweli mkuu, hapa penyewe nalala nje🤒.ACHA MAIGIZO! MAISHA HAYO HUNA!
😅😅😅😅😅... watu wanapata tabu sana na dream za watuNi kweli mkuu, hapa penyewe nalala nje🤒.
👉Sijala toka juzi, hata Kaka National Anthem ana jua🤒
Kwakwer Wacha ni log out sitapaweza🤣🤣Hawa vijana wakishapata hekari za kukodi na kutuletea mchele uliojaa mawe kutoka Malinyi Ulanga huwaga wanajiona washamaliza. Mashauzi meeengi! Quotes kama zote, kuna hawa walima mpuga na Viazi mbatata na wauza iPhone... mweeehh!
Sasa hayo majumba aliyoweka hapo muulize kazi anayofanya au bishara yake utachoka. Nyumba ambazo wanaweza kumiliki kina Yusuph Bakhresa na Kina Abdiel Mengi na Kina Kikwete JR ndo mpuuzi mmoja wa JF anakuja kujikweza hapa kumbe ana videmu vyake vipiga mzinga anavi-seduce vizidi kumuona yeye mwamba kisa anavinunuliaga Bia.
FALA KABISA!
Dah una hasiraa za nyoka aise😁🤒🤣, National Anthem njoo uone mapya🤒🤣🤣Hawa vijana wakishapata hekari za kukodi na kutuletea mchele uliojaa mawe kutoka Malinyi Ulanga huwaga wanajiona washamaliza. Mashauzi meeengi! Quotes kama zote, kuna hawa walima mpuga na Viazi mbatata na wauza iPhone... mweeehh!
Sasa hayo majumba aliyoweka hapo muulize kazi anayofanya au bishara yake utachoka. Nyumba ambazo wanaweza kumiliki kina Yusuph Bakhresa na Kina Abdiel Mengi na Kina Kikwete JR ndo mpuuzi mmoja wa JF anakuja kujikweza hapa kumbe ana videmu vyake vipiga mzinga anavi-seduce vizidi kumuona yeye mwamba kisa anavinunuliaga Bia.
FALA KABISA!
Yaani ana andika gazeti kwa hasiraa😁🤣Kwakwer Wacha ni log out sitapaweza🤣🤣
WE NI MUHAYA?! NDOMANA NILIKUULIZA 🤣Kama hivi au sio🤣🤣, mashangazi ndo ma Nini😁🤣
View attachment 2741495
Wala 😁🤣🤣Miamala umefanyika kikamilifu 😳😳
🥇🥇Dah una hasiraa za nyoka aise😁🤒🤣, National Anthem njoo uone mapya🤒🤣🤣
Bro nalala nje mbona😁🤣🤣WE NI MUHAYA?! NDOMANA NILIKUULIZA 🤣
Sasa mbona hizo ni hela za mchemsho mdogo wangu 😀
Kha! Kumbe najibishana na Undergraduate... usiku mwema. Kazana na Tigopesa itakusaidie kupata kiwanja chamanzi au maji matitu
Yaani ana hangaika, Kama mtu ana tolewa Roho😁🤣