Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #61
Nime cheka aisee🤣😂😂, aftatuInshallah na iwe hivyo ufanikowe zaidi ya hapo.....tena kila siku nitakuwa nakutafuta kukuomba aftatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nime cheka aisee🤣😂😂, aftatuInshallah na iwe hivyo ufanikowe zaidi ya hapo.....tena kila siku nitakuwa nakutafuta kukuomba aftatu.
Hongera mkuu,mi nashangaa watu wame kuwa na chuki ghafla[emoji1787][emoji23]
labda useme miaka 50I remember when they said, they don't believe in me no more cc mshamba_hachekwi 🤒
Mkuu fasihi ina Mambo mengi, nime tumia mbinu ya kuwaza Malengo tu😁labda useme miaka 50
Umejiwekea mikakati gani ya kila wiki, mwezi, mwaka katika kulitimiza hilo?Tuzidi kuombeana kheri🤒
Ndio nitakuwa naomba aftatu kila siku mwisho wa mwezi naitoa aftisini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nime cheka aisee[emoji1787][emoji23][emoji23], aftatu
Basi sawa, nitampa ankoli😁😂Ndio nitakuwa naomba aftatu kila siku mwisho wa mwezi naitoa aftisini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mipango ni Siri, na Siri ndo mafanikio yeneyewe🤒Umejiwekea mikakati gani ya kila wiki, mwezi, mwaka katika kulitimiza hilo?
U genius wako, uko wapi🤔.Upuuzi Mtupu
It is always seen impossible, till someone gets it doneGood day dreaming
It is always seen impossible, till someone gets it doneDreaming is free mkuu, all the best
It always seems impossible untill it's done by Nelson Mandela.. One of my favorite quotes 👏🏾👏🏾It is always seen impossible, till someone gets it done
Pamoja mkuu, tukirudi miaka 100 nyuma- tuka waambia kuta kuwa na ndege-It always seems impossible untill it's done by Nelson Mandela.. One of my favorite quotes 👏🏾👏🏾
Tukirudi miaka 100 nyuma, tuka waambia kuta kuwa na ndege- za kwenda mwezini.Good day dreaming
Hizo ni major technological shifts ila wasingeshangaa sana maana story za watu kupaa na ungo ziliaminika 😁😁Pamoja mkuu, tukirudi miaka 100 nyuma- tuka waambia kuta kuwa na ndege-
👉SI wata tuona wachawi😁😂
Siri kwani unashindana na nani humu? au inahusu wizi?😀😀Mipango ni Siri, na Siri ndo mafanikio yeneyewe🤒