Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #61
Nime cheka aisee๐คฃ๐๐, aftatuInshallah na iwe hivyo ufanikowe zaidi ya hapo.....tena kila siku nitakuwa nakutafuta kukuomba aftatu.
Hongera mkuu,mi nashangaa watu wame kuwa na chuki ghafla[emoji1787][emoji23]
labda useme miaka 50I remember when they said, they don't believe in me no more cc mshamba_hachekwi ๐ค
Mkuu fasihi ina Mambo mengi, nime tumia mbinu ya kuwaza Malengo tu๐labda useme miaka 50
Umejiwekea mikakati gani ya kila wiki, mwezi, mwaka katika kulitimiza hilo?Tuzidi kuombeana kheri๐ค
Ndio nitakuwa naomba aftatu kila siku mwisho wa mwezi naitoa aftisini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nime cheka aisee[emoji1787][emoji23][emoji23], aftatu
Basi sawa, nitampa ankoli๐๐Ndio nitakuwa naomba aftatu kila siku mwisho wa mwezi naitoa aftisini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mipango ni Siri, na Siri ndo mafanikio yeneyewe๐คUmejiwekea mikakati gani ya kila wiki, mwezi, mwaka katika kulitimiza hilo?
U genius wako, uko wapi๐ค.Upuuzi Mtupu
It is always seen impossible, till someone gets it doneGood day dreaming
It is always seen impossible, till someone gets it doneDreaming is free mkuu, all the best
It always seems impossible untill it's done by Nelson Mandela.. One of my favorite quotes ๐๐พ๐๐พIt is always seen impossible, till someone gets it done
Pamoja mkuu, tukirudi miaka 100 nyuma- tuka waambia kuta kuwa na ndege-It always seems impossible untill it's done by Nelson Mandela.. One of my favorite quotes ๐๐พ๐๐พ
Tukirudi miaka 100 nyuma, tuka waambia kuta kuwa na ndege- za kwenda mwezini.Good day dreaming
Hizo ni major technological shifts ila wasingeshangaa sana maana story za watu kupaa na ungo ziliaminika ๐๐Pamoja mkuu, tukirudi miaka 100 nyuma- tuka waambia kuta kuwa na ndege-
๐SI wata tuona wachawi๐๐
Siri kwani unashindana na nani humu? au inahusu wizi?๐๐Mipango ni Siri, na Siri ndo mafanikio yeneyewe๐ค