Muziki ni kazi mkuuShida kwa umri wao kudisiana haitakuwa poa kwa hiyo timing sio
Wao wajikite kwenye nyimbo za kizalendo kwa Sasa
Hapo ni fid anampa tafu mwana afufukeShida kwa umri wao kudisiana haitakuwa poa kwa hiyo timing sio
Wao wajikite kwenye nyimbo za kizalendo kwa Sasa
Namkubali fid na nasikiliza ngoma ngoma zake 70% kwenye play list,ila hii sihitaji marafiki alikopiSihitaji marafiki, labda mmoja wa kuongea nae na mwingine wa kumwongelea
Kwa naniNamkubali fid na nasikiliza ngoma ngoma zake 70% kwenye play list,ila hii sihitaji marafiki alikopi
🤝 umetuliza sana kichwaHapo ni fid anampa tafu mwana afufuke
jamaa alishamuandalia mwingine endapo fid angejibu ileWashikaji wengine wanafiki kama kamasi ndani pua/ukibanja hawakupi nafasi ya kupumua.
Japo kubanda ni moja artist nawo wakubali muda wote ila USIULIZE RADO alitulia sana Verse,chorus balaa la Baucha kwenye beat daaah ule mkito unaweza toka na paa la nyumba!