Baada ya miaka 14 hatimaye Fid Q ameamua kumjibu Rado (usiulize) diss track

Baada ya miaka 14 hatimaye Fid Q ameamua kumjibu Rado (usiulize) diss track

jamaa alishamuandalia mwingine endapo fid angejibu ile
Inaitwaje hiyo nyingine?diss ya Rado ilikuwa na verse kali, lakini beat "Hiphop manyanga". Na Rado akaendelea na beat za manyanga mwisho aka fade out. Fid anataka kucheza na algorithm tu.
 
Anajaribu kutafuta Kiki tu halafu huyo Rado mwenyewe ameshajifia kimuziki kitambo tu
 
Rado ni Kama Chid Benz , n.k

Hakuwekeza katika kujitambua na alivyomjinga alipofika dar akamuona fid q ametoboa kabla yake akachukia


So Rado ukiachana na kuvuta Sana Bangi na Pombe alikuwa hajitambui

Kwakuwa angekaza katika muziki angefika mbali Sana

Fid q kumjibu Rado itakuwa sio sahihi kwakuwa Atakuwa anarusha mawe katika mayai.

Na akimjibu basi atakuwa amemuinua Sana kimuziki.

Ni kama diamond alivyokuwa anamjibu Alikiba katika fresh remix alimfanya alikiba kuendelea kuwa juu

Katika Law of power unabidi usimjibu mtu ambaye upo juu yake kwa kufanya hivyo unakuwa unampa huyo MTU power yako
 
Hivi Rado ukitoa Usiulize Kuna Ngoma nyingine yoyote Kali alishafanyaga?
 
Usiulize Bado Nimo
Rado Namwaga Wino
Uwezo na Kipaji havihusiani na Kimo
Pembeni wananisaliti ila Moyoni Meal Nimo
Nawaunguza Mmoja mmoja kirada Rado Toka Kino

Hii ngoma ni balaaa + Ile Beat Kali ya Baucha Records
 
Usiulize Bado Nimo
Rado Namwaga Wino
Uwezo na Kipaji havihusiani na Kimo
Pembeni wananisaliti ila Moyoni Meal Nimo
Nawaunguza Mmoja mmoja kirada Rado Toka Kino

Hii ngoma ni balaaa + Ile Beat Kali ya Baucha Records
jamaa alikuwa na energy ya kutosha
 
Washikaji wengine wanafiki kama kamasi ndani pua/ukibanja hawakupi nafasi ya kupumua.
Japo kubanda ni moja artist nawo wakubali muda wote ila USIULIZE RADO alitulia sana Verse,chorus balaa la Baucha kwenye beat daaah ule mkito unaweza toka na paa la nyumba!
Acha kabisaa bonge la instrumental..
 
Back
Top Bottom