little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
Sawa kabisa huyo brother huwa namkubali sana mara nyingi yeye na diary yake.Niko na hip hop tangu 1993
Sawa kabisa huyo brother huwa namkubali sana mara nyingi yeye na diary yake.Niko na hip hop tangu 1993
KRS one the teacherSawa kabisa huyo brother huwa namkubali sana mara nyingi yeye na diary yake.
NaaamKRS one the teacher
Sentensi yako ilitakiwa isomeke hivi; huo wimbo wa kujibu mapigo uko wapi? Tunakumbushana tu! Maana Kiswahili hakina mwenyewe. So never mind.Hio nyimbo ya kujibu mapigo ipo wapi
Huyu jamaa ni muongo fid alikua kwenye kipindi cha the classic cha EFM ndo alijibu bifu lake na Rado ila sio kwamba ametoa wimbo kama una bado pita YouTube interview nzima ipo kwa Kuvifact...Sentensi yako ilitakiwa isomeke hivi; huo wimbo wa kujibu mapigo uko wapi? Tunakumbushana tu! Maana Kiswahili hakina mwenyewe.
Wimbo~mmoja!
Nyimbo~nyingi/zaidi ya mmoja.
Mbona wote walishakufaHapo ni fid anampa tafu mwana afufuke
Unafikiri wote tunasikiliza ujingaujinga wenu wa amapiano na mashariki ya kijinga!!..tupo tunaongoja vitu vya kueleweka kwa fid, young killer,binam,we endelea kusikiliza paka mate niteleze kama kambaleMbona wote walishakufa
We kweli kiazi, unanifahamu mimi?Unafikiri wote tunasikiliza ujingaujinga wenu wa amapiano na mashariki ya kijinga!!..tupo tunaongoja vitu vya kueleweka kwa fid, young killer,binam,we endelea kusikiliza paka mate niteleze kama kambale
Kasikilize amapianoWe kweli kiazi, unanifahamu mimi?
Alikopi wapi?!!!Namkubali fid na nasikiliza ngoma ngoma zake 70% kwenye play list,ila hii sihitaji marafiki alikopi
Krs oneAlikopi wapi?!!!
SawaSentensi yako ilitakiwa isomeke hivi; huo wimbo wa kujibu mapigo uko wapi? Tunakumbushana tu! Maana Kiswahili hakina mwenyewe. So never mind.
Wimbo~mmoja!
Nyimbo~nyingi/zaidi ya mmoja.
Ukifuatilia mara zote, utagundua mimi ndiyo victim! Yaani wao ndiyo wanaoanza kunitukana.Sawa
Yanga lia lia
ila na wewe upunguze matusi pia mkuu
tatizo umeangalia interview YouTube mzee kule hawaweki nyimbo kwa sababu za copyrightHuyu jamaa ni muongo fid alikua kwenye kipindi cha the classic cha EFM ndo alijibu bifu lake na Rado ila sio kwamba ametoa wimbo kama una bado pita YouTube interview nzima ipo kwa Kuvifact...
Acha ubishi wa kijinga, Ngoma ipoHuyu jamaa ni muongo fid alikua kwenye kipindi cha the classic cha EFM ndo alijibu bifu lake na Rado ila sio kwamba ametoa wimbo kama una bado pita YouTube interview nzima ipo kwa Kuvifact...