Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe.
Yaan sijiwezi, situliii, siambiwi na sipend pesa sana, navuruga ratiba, kutwa kujitumisha meseji. Haya mambo kwene umri wangu si sahihi maana nilifanya huko nyuma wakati na balehe na ilikua sawa kabisa lakini kwa sasa naona kama ni ugonjwa hasa ukizingatia nina familia.
Naona kabisa naharibu EQUATION ILIYOKUA IME BALANCE!
x + 3y = 4y -y + x
Nimekosea wapi Wakuu?