Baada ya miaka 28 nimekuja kupenda tena kama mtoto! Sijui ni ujinga gani nafanya!

Baada ya miaka 28 nimekuja kupenda tena kama mtoto! Sijui ni ujinga gani nafanya!

Huwa inatokea Wala usijali jipe mda utakaa poa Cha msingi usitumie hela kiasi kikubwa sana
Tumia kwa kadri ya uwezo jifunze kwenye Stoicism theory angalau Kila asubuhi ukiamka sikiliza you tube au soma google
Nasikiliza nn youtube
 
Hata sijala wala ila ni mweupe
🤣 baasss kwisha kabisa.

Yaani kuna sifa tatu zinazozuzua mtu haraka , weupe, body type(shepu,modo, English figure,flat tummy,msambwada) au K tamu ya moto 🤣. Moja wapo kati ya hivyo binti akiwa navyo mtu unazuzuka kama mpumbavu 🤣🤣🤣 mpaka unakaa unajiuliza mwenyewe, hivi nimepatwa na nini? Mbona sijielewi ?🤣
 
Hilo swali hivi nimepatwa na nn ndo kutwa najiuliza
 
Hilo swali hivi nimepatwa na nn ndo kutwa najiuliza
Hapo piga puli utakaa sawa tu. Au fanya mapenzi na mama watoto gizani huku unamvutia hisia huyo binti hiyo kitaalam tunaitwa puli hisia.

Zaidi ya hapo tulia jikaze. Ukishindwa hapo utajikuta unakuwa kama jinga jinga fulani hivi mpaka unajiuliza mwenyewe, hivi nimepatwa na nini? Au nimerogwa? Au ni upwiru? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom