Baada ya miaka 28 nimekuja kupenda tena kama mtoto! Sijui ni ujinga gani nafanya!

Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe.

Yaan sijiwezi, situliii, siambiwi na sipend pesa sana, navuruga ratiba, kutwa kujitumisha meseji. Haya mambo kwene umri wangu si sahihi maana nilifanya huko nyuma wakati na balehe na ilikua sawa kabisa lakini kwa sasa naona kama ni ugonjwa hasa ukizingatia nina familia.

Naona kabisa naharibu EQUATION ILIYOKUA IME BALANCE!

x + 3y = 4y -y + x

Nimekosea wapi Wakuu?
kama wewe niwakina mwakeye hyo ni asili wala usihofu kawaida sana..
 
hujapenda mtu anakukataa we usikiii
mapenzi ni nusu kichaa
Siwezi kufanya hivyo , labda itokee niwe nae tuwe pamoja for such a long time then itokee tuachane so Yale mazoea ndio yatakayo niumiza ila sio Manzi sijawahi kuwa nae Halafu Aniumize kichwa to that extent yaani hata awe mzuri kiasi gani nikiona analeta standard Namimi nampotezea tu
 
Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe.

Yaan sijiwezi, situliii, siambiwi na sipend pesa sana, navuruga ratiba, kutwa kujitumisha meseji. Haya mambo kwene umri wangu si sahihi maana nilifanya huko nyuma wakati na balehe na ilikua sawa kabisa lakini kwa sasa naona kama ni ugonjwa hasa ukizingatia nina familia.

Naona kabisa naharibu EQUATION ILIYOKUA IME BALANCE!

x + 3y = 4y -y + x

Nimekosea wapi Wakuu?
Pia nahitaji maombi yenu, Nina 48yrs ald but Nimejikuta nime fai
 
Mleta mada wewe ni me au ke au both
Maana kama ni mwanaume na unasema hupendi pesa, kwani unahongwa?!
Inafikirisha sana
 
jitahidi utoe usenge kichwan! n mawazo yako yanakupelekea uwaze kitu ambacho sijakiandika
 
Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe.

Yaan sijiwezi, situliii, siambiwi na sipend pesa sana, navuruga ratiba, kutwa kujitumisha meseji. Haya mambo kwene umri wangu si sahihi maana nilifanya huko nyuma wakati na balehe na ilikua sawa kabisa lakini kwa sasa naona kama ni ugonjwa hasa ukizingatia nina familia.

Naona kabisa naharibu EQUATION ILIYOKUA IME BALANCE!

x + 3y = 4y -y + x

Nimekosea wapi Wakuu?
Hujakosea, angalia Moyo Unataka nini
 
jitahidi utoe usenge kichwan! n mawazo yako yanakupelekea uwaze kitu ambacho sijakiandika
Hujajibu swali mkuu,
Mwanume haupendi hela, kuna namna inaleta sintofahamu, naamini sio kwangu ila ni kwa wengi, ila nikaona ni vyema kuuliza ili nitoe ushauri maridhawa
 
Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe.

Title: Baada ya miaka 28 nimekuja kupenda tena kama mtoto! Sijui ni ujinga gani nafanya!

Mkuu mbona sasa inaonesha kama una zaidi ya miaka 30 kwa jinsi ulivyoandika title...
 
Sasa shida nn kwan?
siyo mtihan wa hesabu huu
 
Ilikuaje mwanangu
Kuna manzi nilianza nayo kimasihara kama vile napiga nipite, sasa yeye akawa kama ameelewa kipindi mi ndo zile nipo kama sipo kwa bahati mbaya akaja kujua kua napiga na rafiki yake, wee acha kabisa yule manzi akajitoa mzima mzima alafu mimi ndo nimezama.

Nimeongea nimechoka kanambia nitafute mwingine, hapa siishi kuweweseka.

NB. Mapenzi ni mchezo mchafu sana wakuu.
 
Back
Top Bottom