Baada ya miaka 28 nimekuja kupenda tena kama mtoto! Sijui ni ujinga gani nafanya!

Baada ya miaka 28 nimekuja kupenda tena kama mtoto! Sijui ni ujinga gani nafanya!

Mapigo ya moyo paaa. Ikiingia hata sms ya YAS unajua ni yeye.
Anyway, hawa viumbe hawahitaji kupendwa, mpaka akuelewe mwenyewe. Usisahau, hakuna mwanamke wa kuwekeza sehemu hajaweka moyo hata ukimuonga meli. Hizo za mvumilie atabadilika, labda akiachwa na ampendaye ila akirudi umekwisha pia.
Pole, Mr Nice man.
 
Isee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukitaka kumpotezea tafuta single mother kwanza ujilie zako maini, halafu baadae utajiona bonge la fala kuendeshwa hisia zako na hako katoto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukitaka kumpotezea tafuta single mother kwanza ujilie zako maini, halafu baadae utajiona bonge la fala kuendeshwa hisia zako na hako katoto.
single maza tena
 
Kupenda hakuna age maalumu
Enjoy muda huu maana ukiupoteza huwezi upata Tena

Nothing is permanent
 
Nina miaka 30 sasa, cha kushangaza nimejichanganya sehemu masihara masihara nipenda kama mtoto wa rika balehe.

Yaan sijiwezi, situliii, siambiwi na sipend pesa sana, navuruga ratiba, kutwa kujitumisha meseji. Haya mambo kwene umri wangu si sahihi maana nilifanya huko nyuma wakati na balehe na ilikua sawa kabisa lakini kwa sasa naona kama ni ugonjwa hasa ukizingatia nina familia.

Naona kabisa naharibu EQUATION ILIYOKUA IME BALANCE!

x + 3y = 4y -y + x

Nimekosea wapi Wakuu?
Achana na mapenzi mkuu fanya mambo mengine au unasemaje mh.@Smart911
 
Sio hupendi pesa, hujazipata ! Kina Elon wanazisaka usiku na mchana alafu kuna kenge imevimbiwa makande inasema haipendi pesa
 
🤣 baasss kwisha kabisa.

Yaani kuna sifa tatu zinazozuzua mtu haraka , weupe, body type(shepu,modo, English figure,flat tummy,msambwada) au K tamu ya moto 🤣. Moja wapo kati ya hivyo binti akiwa navyo mtu unazuzuka kama mpumbavu 🤣🤣🤣 mpaka unakaa unajiuliza mwenyewe, hivi nimepatwa na nini? Mbona sijielewi ?🤣
Mimi Nadhani ni Ile chemistry tuliyokuwa Nayo ndio inayo nitesa nothing much maana kama ni Mademu wazuri ninao kuzidi yeye
 
Back
Top Bottom